Tetesi: KWA VIFURUSHI HIVI MITANDAO MINGINE ITAPATA WATEJA?

Tetesi: KWA VIFURUSHI HIVI MITANDAO MINGINE ITAPATA WATEJA?

Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Hivyo ni kwa miezi miwili mitatu ya mwanzo.....baada ya miezi minne sh 500 mb 50+20 nyongeza (sijui wanawekaga nyongeza ya nini si waweke tu 70) sms 100 dk 7.....sh 1000 mb 200 and blablablabla.......waulize walioshobokea halotel.
Nimeamua kurudi tigo yangu tu. Halotel sio
 
uwiiii hii sasa sifa aisee. nachompendea bakhresa anapita mulemule wanachotaka wadau
 
Hawafikii vifurushi vya Continental sh. 500/wiki sms bila kikomo, dk 200 continental continental na dk 60 mitandao mingine na gb 5.
hata digitek wana vya kwao sema hawapendi show off tu tena wao wanatoa 10gb kwa jero tu
 
Siyo mbaya baada ya muda wakipandisha tunatupa laini tunarudi tulikozoea
 
Back
Top Bottom