Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Nakusalimu mpenziHamna ilitokea tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusalimu mpenziHamna ilitokea tuu
Zamani walikuwa wakichepuka sana na mume akitaka kukuolea mke wa pili we ndo unatandika kitanda na kumuhudumia huyo bi mdogo sema ss kina mama tumejua haki zetu hatuambiwi kitu. Na wamama walikuwa wakichepuka ndo maana walikuwa wakizaa watoto wengi kumbe kati ya wale 2 ni wa familia anayodhani huwa wana akili za darasani, 2 wa mzee mwenye hela mtaani (kwamba kuna mkondo wa utajiri) 1 wa mwenyekiti (anafata mkondo wa uongozi) na wengine wa mzee rafiki na mumewe aliyeonyesha kuwajali wakati baba kaenda kutumika shamba la mkonge. Na maradhi kulikuwa hamna sasa hivi chepuka uone maradhi yatavyokuumbua!!! Gono, HIV, UTI
Kweli aiseezamani sio ya kuiongelea hata, kidogo, tena uchepukaji wake ulikuwa wa kibabe, mtemi anakuja we unatoka unamuacha ndani na mkeo, anafanya anachojua yeye huko ndani we unakaa nje unaskilizia, akitoka hapo anaingia nyumba inayofuata, yaani kijiji kizima wake zenu ni wake zake akiwahitaji...mambo gani sasa ukizingatia zawani chupi ilikuwa hamna watu walimalizana sana kwenye makorongo, visimani, shamba huko, kwanza mnazungumzia zamani gani maana labda sijaelewa vizuri, kama ni zamani ile mgeni wa kimasai akija kwako achomeka mkuki nje ili mwenye nyumba ukija uje kuna njemba ipo ndani, aisee zamani ile wachepukaji walikuwa wababe kuliko sasa