Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukesha tu bar,ila kanisani/msikitini aaahKusinzia tu, kukesha aaah
Sasa wewe mr bean ukioa si utamharibu mbavu mkeoSasa hapo n sawa na kutuambia tusioe kabisa, mana sasa hapo kosa la classmate ni lipi?
Sasa hapo sii umegusa kila mwanamke kwa kifupi tusioe.1. Usioe kamwe mwanamke aliyeachika.
2. Usioe ndugu wa karibu.
3. Usioe mwanamke anayeomba omba Hela Kila mara, mwanamke mwenye upendo na wewe atakuhurumia.
4. Usimtegemee mwanamke kamwe..
5. Usiishi ukweni.
6. Usidate na mwanamke anayetumia muda mwingi saluni.
7. Jitahdi sana ukiwezekana oa kwenye kabila lako.
8. Oa mwanamke anayemudu majukumu madogo madogo ya nyumbani vizuri ,kama kupika,kufua,usafi wa ndani.
9. Kama mwanamke analewa piga chini,kama anapenda club na kuhudhuria events sana piga chini.
10. Usitafute mwanamke kwenye hadusi au kwenye event yoyote.
11. Usioe class mate.
12. Usioe ndugu wa karibu.
13. Usioe mwanamke ambaye hufahamu undani wa familia yao vizuri.
14. Kama mama ni kicheche Binti atafuata nyayo zake.
15. Usioe mwanamke kwa kumhurumia.
16. Kama sio single father usioe single mother.
17. Usioe mwanamke kama unatofautiana nae zaidi ya miaka 5.
18. Kama mwanamke hajiusishi na Imani ya Mungu ,shetani atakuwa upande wake.
19. Epuka mademu wote wasiopenda ujue wanapoishi.
20. Bukimpa mwanamke Hela ukisikia hii haitoshi temana naye.
21. Kama mwanamke alishawahi kutoa mimba fahamu kuwa anaweza kukuua hata wewe
22. Epuka mwanamke anayependa kutumia shortcut kwenye maisha.
23. Kama mwanamke ukiona anakurekebisha sana kuhusu mwonekano wako temana nae mapema.
24. Mwanamke mwenye ujasiri wa kutembea usiku sana ,hata akija kwako habadiliki rangi. Ki
25. Mwanamke asiyejisitiri vizuri.
26. Kama anakuzidi kipato sana, achana naye.
27. Kama familia yao ni tajiri sana kuliko ya kwenu.
28. Kama ni mchumba wa mtu mwingine na anataka kumwacha kwa ajili yako.
29. Kama hajui asili ya chimbuko lake ni wapi.
30. Kama chakula chake kikuu ni chipsi kuku daily.
31. Kama ana makucha marefu.
32. Kama anavaa mawigi nyenye rangi njano,bluu au redi.
33. Kama ametoboa pua, ulimi,k itovu.
34. Kama ana tattoo mwilini.
35. Kama anavaa cheni kiunoni au kikuku.
36. Kama anavuta bangi,au miraa.
37. Kama anaendaga kwa waganga
38. Kama ana chale au hirizi.
39. Kama anakutaka umwingilie kwa mpalange
😅😅😅Mzee utaoa shetani sasa.
Hapo anakuwa hana mbavu tukiwa bado wachumba 😂Sasa wewe mr bean ukioa si utamharibu mbavu mkeo
😂 Namuonea hurumaHapo anakuwa hana mbavu tukiwa bado wachumba 😂
Muonee wivu afu ww ndo uchukue nafasi yake 😒😂 Namuonea huruma
kijana unataka kuoa,,hizo sifa zote juu apo ninazo😎🤏🏾Muonee wivu afu ww ndo uchukue nafasi yake 😒
Ntakuvumilia, ww sio shetanikijana unataka kuoa,,hizo sifa zote juu apo ninazo😎🤏🏾
Uyo unomtaka ww sijui utampata wapi1. Usioe kamwe mwanamke aliyeachika.