Kwa vijana wanaotaka pesa za haraka za mteremko

Mimate33

Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Kuna website hapa ambayo nimeipata kutoka kwa marafiki zaidi ya mmoja inaeleza namna ya kutengeneza pesa kimteremko kabisa ukiwa umekalia kiti bila shuruti. Bofya hapo kwa habari zaidi http://PayMilo.com/ref.php?page=act/ref&invcod=63542
 
Kwa hiyo wazee hawatakiwi? Mimi nilidhani ingewafaa wazee ambao nguvu zimewaishia kuzunguka mitaani, hawa vijana muwashauri kutumia akili,nguvu na afya zao kutafuta sio kuokota.
 
mkuu bravo bravo sana ur a great thinker kwa ulichoandika kwani ni ukweli mtupu heko sana
 
Hivi kuna watu bado wana fikra za kufanikiwa bila kutoa jasho!!
 
Kwa hiyo wazee hawatakiwi? Mimi nilidhani ingewafaa wazee ambao nguvu zimewaishia kuzunguka mitaani, hawa vijana muwashauri kutumia akili,nguvu na afya zao kutafuta sio kuokota.

Mkuu, vijana wa siku hizi wanataka mteremko, hawataki shuruba. It's a digital world.
 
Back
Top Bottom