Kwa vile Corona haina kinga wala tiba, Mnaonaje mahospitali yetu pia yakaruhusiwa tutumie tiba asili na tiba mbadala ikiwemo Faith Healing?

Uzi ulibuma,naona unalazimsha ujae ujae!Umeshatupa habari za huo ugeni star tv,imetosha.Kuchimbua nyuzi zako ni una agenda nyingine kabisaa!
 
Back
Top Bottom