Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeyote anaweza kuwa Rais , muhimu awe MtanzaniaKwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
Kwani wazenj ni watanzania au wazenj? Tunataka rais mzawa si gabacholiiiiYeyote anaweza kuwa Rais , muhimu awe Mtanzania
Ndio wazenji ni wa Tanzania, ina maana hata jambo hili ulikuwa hujui?Kwani wazenj ni watanzania au wazenj? Tunataka rais mzawa si gabacholiiii
Zanzibar ni nchi, ina rais na bendera yake. Nchi ya Zanzibar ina marais wawili mmoja akiwa rais wa nchi hiyo ya Zanzibar na Mzanzibari mwingine akiwa rais wa Tanzania.Ndio wazenji ni wa Tanzania, ina maana hata jambo hili ulikuwa hujui?
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kwahiyo hakuna tatizo lolote Mzanzibari kuwa Rais wa Tanzania, labda kama una hoja nyingine?Zanzibar ni nchi, ina rais na bendera yake. Nchi ya Zanzibar ina marais wawili mmoja akiwa rais wa nchi hiyo ya Zanzibar na Mzanzibari mwingine akiwa rais wa Tanzania.
Jitahidi kuficha Ujinga wako mkuu,sio lazima kila mtu ajue.
Utakuja kunishukuru hapo baadk
Kwa lipi wakati tatizo lako ni kutoelewa lugha za kufungiana nyama?Jitahidi kuficha Ujinga wako mkuu,sio lazima kila mtu ajue.
Utakuja kunishukuru hapo baadae