Kwa vile Magufuli hakuishi kumaliza ngwe yake inayomaliziwa na mzenj rais ajaye atoke bara

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
 
Mkuu imeshatoka hiyo! Kwa sasa nchi haiendeshwi na Katiba.
 
Kwa utawala usioeleweka na kuingia kiti kwa mkono wa kifo, kwanini ssh asimalize ngwe hii akawekwa oembeni na mgombea afuataye akatoka bara? Mie nebulization tu
Yeyote anaweza kuwa Rais , muhimu awe Mtanzania
 
Jitahidi kuficha Ujinga wako mkuu,sio lazima kila mtu ajue.
Utakuja kunishukuru hapo baadae
 
Ndio wazenji ni wa Tanzania, ina maana hata jambo hili ulikuwa hujui?
Zanzibar ni nchi, ina rais na bendera yake. Nchi ya Zanzibar ina marais wawili mmoja akiwa rais wa nchi hiyo ya Zanzibar na Mzanzibari mwingine akiwa rais wa Tanzania.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania, kwahiyo hakuna tatizo lolote Mzanzibari kuwa Rais wa Tanzania, labda kama una hoja nyingine?
 
Back
Top Bottom