boyayoparuparu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 343
- 81
Leo katika pambano la mpira wa miguu,kati ya timu ya yanga na mtibwa lililofanyika mkoa wa morogoro,kuna baadhi ya washabiki wa timu ya yanga,lilipofungwa goli la kwanza,wamejitokeza na kushangilia goli hilo kwa kuonyesha kipeperushi cha mgombea wa ccm,tabia hii haikubaliki kwa wanamichezo,viongozi wa vilabu vya mpira mnatakiwa kukemea tabia hii,vinginevyo tutajua kuwa ni nyinyi mnao watuma washabiki wanaoleta mambo hayo katika viwanja vya mpira yanga 2 mtibwa o