GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia.
Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu ya Simba ikicheza Mechi zake za Kkmataifa hulazimisha akaiangalie Simba SC na huwa na Furaha Usoni kuliko hata ile ambayo huwa inaonekana ni ya Kulazimisha na ya 'Kurogwa' akiwa Yanga SC.
Mkataba wa Kocha Nabi unaelekea Ukingoni na cha Kushangaza kila akifuatwa na Uongozi wa Yanga SC ili asaini mpya anasema wasubiri Kwanza na hutoa sababu nyingi kama za Mwanamke Mrembo ambaye humfanyia Mwanaume Masikini, Bahili na mwenye Sura Mbaya.
Walioko Kambini Avic Town walipo Wafugaji wa Ng'ombe wasio na Afya ambao hupeana zamu Kuwachunga ambapo muda huu naandika huu Uzi Feisal Salum 'Fei Toto' anaitafuta Mwembe Mtengu Kigamboni na Ng'ombe Wawili Vimbaumbau ( Fidodido ) akiwatafutia Malisho wanasema mara nyingi Kocha Nabi hupenda Kuwasifia Wachezaji wa Simba SC na Uongozi wa Simba SC jinsi unavyoiendesha Timu.
Ikumbukwe hata alipokuwa nchini Sudan na Klabu Bingwa ya huko tayari Kocha Nabi alikuwa anakuja Simba SC isipokuwa kuna Wahuni wa 10% Wakamzunguka Tajiri Mo na kumleta Kocha Didier Gomez ambaye nataarifiwa kuwa ameshatimuliwa kama Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Mauritania.
CV ya Kocha Nabi ni ya Kufundisha Simba SC tu kwa hapa Tanzania na CV ya Kocha wa sasa wa Simba SC ni ya Kufundisha Vilabu vibovu kama vya Yanga SC, DTB FC na Pan Africa FC ya Shaurimoyo Ilala Dar es Salaam.
Kocha Pablo akifukuzwa SSC nitafurahi.