Kwa 'Visa' ambavyo Kocha Nabi anawafanyia Yanga SC sasa niseme tu Kocha Pablo 'out' na Yeye 'Msimbazi' kunamkaribisha

Ngoja ule umeme
 
Wee jamaa sikujui, Ila nadhani itakuwa kijamaa Fulani kifupi Kama akili zako.
 
Huyu Nabi wakati anatambulishwa Yanga alisema "Nafurahi kujiunga na Simba, wakamshtukia oya huku ni Yanga" [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unajua mzushi utamjya ama kwa sura au maandishi,nabi ni mkweli na mwaminifu sana,kuhusu simba ni kweli walijaribu sana kunpata kabla ya gomez,lakini hawakumpaya kwa simu kwani alikuwa mbali kwao ambajo hapakuwa na network,ndipo wakamchukua gomez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…