Kwa viwango vya wasomi tanzania ni ya ngapi africa?

Kwa viwango vya wasomi tanzania ni ya ngapi africa?

firstone

Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
13
Reaction score
1
Wanajf.
Hiv takwimu zinaonesha tz ni ya ngapi kwa idadi ya wasoi africa?
 
Inawezekana hujui maana ya upuuzi ndo maana umepuzia kumbe wewe ndo mpuuzi
 
pole mkuu inawezekana ujumbe haukufika vizuri. ila nadhani lengo lako lilikuwa ni zuri tu, la kujua takwimu ya watanzania wenye elimu kuanzia kiwango fulani ili uweke kumbukumbu zako sawa hususani kama unakautafiti kako. Samehe bure tu watu wengine hawajui maana ya jukwaa
 
Back
Top Bottom