Kwa vyovyote vile Adv Nkuba akishinda Uchaguzi TLS umma utaamini ameshinda kwa njia za Napenization

Ndio mgombea niliyemuona yuko calm sana kwa mujibu wa maswali ya kichochezi ambayo alikuwa anaulizwa na odemba.

Aliweza kucontrol majibu yake na hakuonesha chembe ya majibu ya uoga kwa CCM.

Kama alivyokemea utekaji na mauwaji wazi,kitu ambacho bwana odemba alidhani atapewa majibu ya kuzunguka kama yule mkuu wa wilaya ya ubungo anayeulizwa kuhusu utekaji alafu anasema no comment.

Huyu nkuba anafaa.

Mwabukusi sio mbaya ila nahofia tu huwenda akawa ana jazba na hasira za karibu ambazo znaweza kumnyima akili ya kufikiri vizuri
 
Nilipata shida sana kumuelewa mwsbukusi.

Maana anayoyadai mwabukusi hata raia wa kawaida anaweza kuyafanya.

Nilidhani atajikita katika kuisemea nafasi anayoigombania ataitumia vipi kisheria na kitaratibu kusaidia malengo na kazi ya taasisi hiyo kusonga mbele.
 
Mwabukusi amekuja kuleta siasa kwenye TLS
 
Hakuna malengo zaidi ya kusimamia haki za raia mahakani na vituo vya polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…