Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mgombea niliyemuona yuko calm sana kwa mujibu wa maswali ya kichochezi ambayo alikuwa anaulizwa na odemba.Nkuba Adv ndio Mgombea aliezungumza vyema na kuupiku Mdahalo.
Jamaa ni smart and Intelligent
Nkuba anakwenda kushinda hii nafasi tena wazi kabisa
Wafuasi wa Chadema awaiingii kupiga kura Bali Mawakili wasomi
Kiufupi Tls inakwenda kupata mtu sahihi na ni Adv Nkuba
Nilipata shida sana kumuelewa mwsbukusi.Kazi ya TLS siyo kutetea raslimali za nchi bali jukumu la TLS ni Kuisaidia Serikali na Mahakama kuhusu mambo yoyote yanayogusa sheria, utawala wa sheria na kazi za kisheria. Dhana hii ndiyo inayoiunganisha Taasisi hiyo na Mahakama ya Tanzania.
Kama Mwabukusi ni mwanaharakati basi TLS siyo mahali pake
Mwabukusi amekuja kuleta siasa kwenye TLSNilipata shida sana kumuelewa mwsbukusi.
Maana anayoyadai mwabukusi hata raia wa kawaida anaweza kuyafanya.
Nilidhani atajikita katika kuisemea nafasi anayoigombania ataitumia vipi kisheria na kitaratibu kusaidia malengo na kazi ya taasisi hiyo kusonga mbele.
Hakuna malengo zaidi ya kusimamia haki za raia mahakani na vituo vya polisiNilipata shida sana kumuelewa mwsbukusi.
Maana anayoyadai mwabukusi hata raia wa kawaida anaweza kuyafanya.
Nilidhani atajikita katika kuisemea nafasi anayoigombania ataitumia vipi kisheria na kitaratibu kusaidia malengo na kazi ya taasisi hiyo kusonga mbele.