Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa mkuu,uko pande zipi za A townHahahahha no,me na agent wa hio product kwa arusha na moshi
Duuuuh mkuu yaani umenifurahisha kishenzi, jamaa anatangaza biashara wewe una associate na kukwapua! At first nilifikiri labda unafahamu zinauzwaje na bei ya jamaa ilikuwa chini.Umezikwapua nini?
nilikuwa namchek kama anaweza lugha ya kibiashara.si unajua wateja tulivyo wakorofi.Duuuuh mkuu yaani umenifurahisha kishenzi, jamaa anatangaza biashara wewe una associate na kukwapua! At first nilifikiri labda unafahamu zinauzwaje na bei ya jamaa ilikuwa chini.
Jumla ni kuanzi ctn 50,chini ya ctn 50 bei ni 25500
Ha haa haa haa haa wewe utakua mjanja mjanja imekuaje ukafikiria upande huo?Kama angekua amezikwapua angethubutu kuanika namba yake hapo?Umezikwapua nini?