Kwa wa arusha na moshi

Kwa wa arusha na moshi

dibbo

Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
30
Reaction score
1
Kwa wale wanaohitaji AZAM NAZI bei ya jumla ni 25200 kwa ctn,kwa mawasiliano tafadhali piga 0767366367
 
Hahahahha no,me na agent wa hio product kwa arusha na moshi
 
Umezikwapua nini?
Duuuuh mkuu yaani umenifurahisha kishenzi, jamaa anatangaza biashara wewe una associate na kukwapua! At first nilifikiri labda unafahamu zinauzwaje na bei ya jamaa ilikuwa chini.
 
Duuuuh mkuu yaani umenifurahisha kishenzi, jamaa anatangaza biashara wewe una associate na kukwapua! At first nilifikiri labda unafahamu zinauzwaje na bei ya jamaa ilikuwa chini.
nilikuwa namchek kama anaweza lugha ya kibiashara.si unajua wateja tulivyo wakorofi.
 
mkuu.....vipi kuhusu juice....unazo?
 
Back
Top Bottom