Kwa wa taalam wa bidhaa za ngozi

LUWINGO

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
33
Reaction score
8
Habari wanajamvi.

Mimi ni mjasiliamali, nina jihusisha na utengenezaji wa bidhaa za ngozi, hasa sandals aka viatu vya kimasai, mikanda, mabegi na bidhaa nyingine nyingi. hivi sasa nipo katik mchakato wa kupanua uzalishaji kulingana na soko la bidhaa zangu, lakini changamoto yangu kubwa ni vifaa vya kutendea kazi kama vile CHEREHANI(mashine) yenye uwezo wa kushona NGOZI.

Tafadhali, naomba mzoefu na mashine hizo anijuze wapi ninapoweza kuzipata na kwa bei gani?

PIA NAKARIBISHA USHAURI WA KIUFUNDI KUHUSU BIASHARA YANGU.

Asanteni sana.
 

nasubiri jibu wa tz wenzangu.
 
Mkuu bado unazalisha bidhaa?

Ofisi wapi nikutembelee siku moja
 
Natamani sana kujifunza hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…