Kwa wa taalamu wa ufugaji

BATENDA

New Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habarini wakuu.Mimi ni mfanyakazi ila napenda sana kujituma mwenyewe.katika maandalizi ya kujituma nimeanza na ufugaji wa kuku wa kienyeji.kwa kuanza nimeanza na vifaranga ishirini sasa vina miezi miwili,ila mbona ukuaji wao si wa haraka kama nilivyo tarajia.wenye ujuzi na ufugaji wa kuku wa kienyeji nipeni mwangaza kidogo.
 
kuwa mvumilivu maana hao ni wakienyeji na hata kama ukiwafuga kama wa kisasa na ukuaji wake sio sawa na hao wa kisasa, labda ubadilishe utafute high breed nd watakua kwa haraka kama unavyotegemea
 
Tuma email yako ni kutumie kitabu cha ' ufugaji bora wa kuku wa kienyeji' kupitia (nobby1113@gmail. com) am sure kinaweza kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…