Habarini wakuu.Mimi ni mfanyakazi ila napenda sana kujituma mwenyewe.katika maandalizi ya kujituma nimeanza na ufugaji wa kuku wa kienyeji.kwa kuanza nimeanza na vifaranga ishirini sasa vina miezi miwili,ila mbona ukuaji wao si wa haraka kama nilivyo tarajia.wenye ujuzi na ufugaji wa kuku wa kienyeji nipeni mwangaza kidogo.