Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Kuna Sheria
Kuna Katiba
Sheria zinafaa zifwate kanuni za Katiba ili ziwe sheria kama hazifwati katiba basi sio sheria mwafaka
Ninaweka reply yangu kama thread ili muelewe mnayo ongelea juu naona tu mna kurupuka kuweka mawazo yenu yasiyo na any standing kwa issue za Kenya msiyo yaelewa
Kenya ina Sheria na Katiba haya mawili sio kitu moja ila zina tegemeana!!....sio kama tanzania ambayo sheria ziko embedded kwa katiba...hapa juu sheria na katiba ni vitu mbili tofauti!!
Wameveruga Sheria Mwanzi1 wala sio katiba.... kubadilisha katiba Unafaa uite referendum....hyo sheria mtu yeyote anaweza enda kortini na ai pindue hata Rais akiweka saini yake haitajalisha ....know the difference .....hata kumtoa Chief justice, Uhuru ni mpaka aitishe Kura hawezi ambia Ikulu ama Bunge imtoe haina uwezo...ngoja uone by 26th hyo sheria na vipengele walio ongeza itakuvutiliwa mbali!!...tayari upinzani ushaenda kortini!!!...hakutakuwa na Kura hata hivyo!!!!
Kuna difference kati ya
1. SHERIA
2. KATIBA
angekuwa amebadili katiba kenya wakati huu hakunge kalika .....hyo ni Sheria amebatili
Kama sheria haiambatani na kanuni zilizo wekwa katika katiba mtu anaenda kortini na kuweka kesa yake na ku convince ma jajii kuwa sheria hyo haiambatani na katiba ya nchi ...basi inambidii amfanye jaji aelewe akielewa anatoa uamuzi wake iwapo sheria hyo itatumika au laaa....
Okiya omtata ambaye ni civil activist ameenda tayari Kortini kuitupilia mbali sheria hio....
Hata bado Uhuru hajaiweka saini yake kwa sheria hyo!!!...
Kubadilisha Katiba nchini Kenya utahitaji
Kura ili ujur maoni ya watu.....
Jinsi ya Kupata Kura ni Kuchukua
Saini ya watu
Millioni moja na ID number zao na Kusubmit kwa IEBC for Referendum au
Kuchukua Kesi yako kwa Bunge na kupata Kura 2/3 ya wabunge wote lower na Upper house alafu ndio uende tena kuitisha kura ya maoni Elections....
Hakuna kitu ya maana Uhuru amefanya that is why no opposition leader recognises anything he has done since nullyfication ...akipoteza kiti chake ako liable yo criminal amd jail terms kwa amount of breaches amefanyia Katiba
Na hyo ndio inamwogopesha juu akipoteza kiti yake Utaona more than 30% of Jubilee mps go for criminal hearings to answer for the breach they have done on constitution kama
~Kubadilisha sheria peke yao bila wapinzani
~kutumia ma katibu wa wizara kupiga kampaign
~kutumia statehouse kupiga campaigns
~kuambia wakenya wasilipe kodi kwa serikali ya kaunti ya mombasa
~kutumia wizara za serikali vibaya kama polisi
~kupandisha na kushukisha bei za unga atakavyo.
Anyway wacha akazane Kenya tutaona miezi moto zijazo nina uhakika Uhur hatakuwa Rais wangu more than a Year from now...hata akwamilie aje hatoweza.......Jela na ICC ndio wanafaa waende na wabunge wao kadhaa kujibu mashtaka ya uuwaji kwa kutumia polisi, kupoteza pesa za umma etc!!!!
Yote nayosema Mwanzi1
Uhuru hana nguvu za kubadilisha katiba Kenya
Ila ni sheria amebadilisha