Kwa wa Tanzania wanaojifanya kujua kinachoendelea Kenya

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
Kuna Sheria
Kuna Katiba
Sheria zinafaa zifwate kanuni za Katiba ili ziwe sheria kama hazifwati katiba basi sio sheria mwafaka

Ninaweka reply yangu kama thread ili muelewe mnayo ongelea juu naona tu mna kurupuka kuweka mawazo yenu yasiyo na any standing kwa issue za Kenya msiyo yaelewa

Kenya ina Sheria na Katiba haya mawili sio kitu moja ila zina tegemeana!!....sio kama tanzania ambayo sheria ziko embedded kwa katiba...hapa juu sheria na katiba ni vitu mbili tofauti!!
Wameveruga Sheria Mwanzi1 wala sio katiba.... kubadilisha katiba Unafaa uite referendum....hyo sheria mtu yeyote anaweza enda kortini na ai pindue hata Rais akiweka saini yake haitajalisha ....know the difference .....hata kumtoa Chief justice, Uhuru ni mpaka aitishe Kura hawezi ambia Ikulu ama Bunge imtoe haina uwezo...ngoja uone by 26th hyo sheria na vipengele walio ongeza itakuvutiliwa mbali!!...tayari upinzani ushaenda kortini!!!...hakutakuwa na Kura hata hivyo!!!!

Kuna difference kati ya

1. SHERIA

2. KATIBA

angekuwa amebadili katiba kenya wakati huu hakunge kalika .....hyo ni Sheria amebatili

Kama sheria haiambatani na kanuni zilizo wekwa katika katiba mtu anaenda kortini na kuweka kesa yake na ku convince ma jajii kuwa sheria hyo haiambatani na katiba ya nchi ...basi inambidii amfanye jaji aelewe akielewa anatoa uamuzi wake iwapo sheria hyo itatumika au laaa....

Okiya omtata ambaye ni civil activist ameenda tayari Kortini kuitupilia mbali sheria hio....

Hata bado Uhuru hajaiweka saini yake kwa sheria hyo!!!...

Kubadilisha Katiba nchini Kenya utahitaji

Kura ili ujur maoni ya watu.....

Jinsi ya Kupata Kura ni Kuchukua

Saini ya watu
Millioni moja na ID number zao na Kusubmit kwa IEBC for Referendum au

Kuchukua Kesi yako kwa Bunge na kupata Kura 2/3 ya wabunge wote lower na Upper house alafu ndio uende tena kuitisha kura ya maoni Elections....

Hakuna kitu ya maana Uhuru amefanya that is why no opposition leader recognises anything he has done since nullyfication ...akipoteza kiti chake ako liable yo criminal amd jail terms kwa amount of breaches amefanyia Katiba

Na hyo ndio inamwogopesha juu akipoteza kiti yake Utaona more than 30% of Jubilee mps go for criminal hearings to answer for the breach they have done on constitution kama
~Kubadilisha sheria peke yao bila wapinzani
~kutumia ma katibu wa wizara kupiga kampaign
~kutumia statehouse kupiga campaigns
~kuambia wakenya wasilipe kodi kwa serikali ya kaunti ya mombasa
~kutumia wizara za serikali vibaya kama polisi
~kupandisha na kushukisha bei za unga atakavyo.

Anyway wacha akazane Kenya tutaona miezi moto zijazo nina uhakika Uhur hatakuwa Rais wangu more than a Year from now...hata akwamilie aje hatoweza.......Jela na ICC ndio wanafaa waende na wabunge wao kadhaa kujibu mashtaka ya uuwaji kwa kutumia polisi, kupoteza pesa za umma etc!!!!

Yote nayosema Mwanzi1
Uhuru hana nguvu za kubadilisha katiba Kenya

Ila ni sheria amebadilisha
 
Sammuel999
You need more insight on Administrtive/Constitutional Law to discuss this. Also comparative law since you tried to explain in a very plain and layman (siyo tusi, maana usije ukaanza kutoa povu hapa, ahaaa haaa) way the difference between TZ and Ke legal system. for which all belong to the same law family of the world. i.e. common law.
 
tell them sir...these southerners, they cant even tell the difference between a constitution amendment and a referendum...elimu yao iko chini sana...pili, hawana uhuru wa kuuliza maswali....rais ndiye mwanzo na mwisho wa sheria...atawakamata na kuwafinya mirija mtu atakapotamka neno moja...mwulize Lissu ama Lowasa
 
Wewe ni kawaida yako kukurupuka.
Umesoma alichoandika huyo jamaa yako hapo juu??
Amechanganya changanya sana mambo hapo juu. Na ndiyo maana nimemuambia lazima ajiongeze kwenye constitutional and comparative law.
Mfano anasema "Kenya ina Sheria na Katiba haya mawili sio kitu moja ila zina tegemeana!!....sio kama tanzania ambayo sheria ziko embedded kwa katiba...hapa juu sheria na katiba ni vitu mbili tofauti!!"
Katika law families zote Katiba ni Sheria mama au the mother law of the land au the grandnorm. Hivyo sheria zote ziko chini ya katiba, hata hiyo sheria yenu ya uchaguzi inapaswa kuwa chini ya Katiba yenu. Hivyo ndivyo ilivyo kwa nchi zote hata kwa nchi ambazo hazina katiba iliyoandikwa kama Uingereza bali zinajikita kwenye misingi ya kijamii nazo lazima sheria zinazotungwa ziwe chini ya misingi ya norms and values zao (refer philosophy of law). Sheria yoyote ikitungwa bila kuwa chini ya katiba itakuwa ina act utra vious na itakuwa bad law and the citizens will be right to disown it.
Need say more?
 
tell them sir...these southerners, they cant even tell the difference between a constitution amendment and a referendum...elimu yao iko chini sana...pili, hawana uhuru wa kuuliza maswali....rais ndiye mwanzo na mwisho wa sheria...atawakamata na kuwafinya mirija mtu atakapotamka neno moja...mwulize Lissu ama Lowasa
Hahaha umepanic na lutoka nje ya mada
Nyumba inaungua Unashindwa kuendea maji kazi kujibizana na jirani Nyumba yake ipo full amani !!
Unahitaji maombi wewe
 
Kuna Sheria
Kuna Katiba
Sheria zinafaa zifwate kanuni za Katiba ili ziwe sheria kama hazifwati katiba basi sio sheria mwafaka

Ninaweka reply yangu kama thread ili muelewe mnayo ongelea juu naona tu mna kurupuka kuweka mawazo yenu yasiyo na any standing kwa issue za Kenya msiyo yaelewa

Kenya ina Sheria na Katiba haya mawili sio kitu moja ila zina tegemeana!!....sio kama tanzania ambayo sheria ziko embedded kwa katiba...hapa juu sheria na katiba ni vitu mbili tofauti!!
Wameveruga Sheria Mwanzi1 wala sio katiba.... kubadilisha katiba Unafaa uite referendum....hyo sheria mtu yeyote anaweza enda kortini na ai pindue hata Rais akiweka saini yake haitajalisha ....know the difference .....hata kumtoa Chief justice, Uhuru ni mpaka aitishe Kura hawezi ambia Ikulu ama Bunge imtoe haina uwezo...ngoja uone by 26th hyo sheria na vipengele walio ongeza itakuvutiliwa mbali!!...tayari upinzani ushaenda kortini!!!...hakutakuwa na Kura hata hivyo!!!!

Kuna difference kati ya

1. SHERIA

2. KATIBA

angekuwa amebadili katiba kenya wakati huu hakunge kalika .....hyo ni Sheria amebatili

Kama sheria haiambatani na kanuni zilizo wekwa katika katiba mtu anaenda kortini na kuweka kesa yake na ku convince ma jajii kuwa sheria hyo haiambatani na katiba ya nchi ...basi inambidii amfanye jaji aelewe akielewa anatoa uamuzi wake iwapo sheria hyo itatumika au laaa....

Okiya omtata ambaye ni civil activist ameenda tayari Kortini kuitupilia mbali sheria hio....

Hata bado Uhuru hajaiweka saini yake kwa sheria hyo!!!...

Kubadilisha Katiba nchini Kenya utahitaji

Kura ili ujur maoni ya watu.....

Jinsi ya Kupata Kura ni Kuchukua

Saini ya watu
Millioni moja na ID number zao na Kusubmit kwa IEBC for Referendum au

Kuchukua Kesi yako kwa Bunge na kupata Kura 2/3 ya wabunge wote lower na Upper house alafu ndio uende tena kuitisha kura ya maoni Elections....

Hakuna kitu ya maana Uhuru amefanya that is why no opposition leader recognises anything he has done since nullyfication ...akipoteza kiti chake ako liable yo criminal amd jail terms kwa amount of breaches amefanyia Katiba

Na hyo ndio inamwogopesha juu akipoteza kiti yake Utaona more than 30% of Jubilee mps go for criminal hearings to answer for the breach they have done on constitution kama
~Kubadilisha sheria peke yao bila wapinzani
~kutumia ma katibu wa wizara kupiga kampaign
~kutumia statehouse kupiga campaigns
~kuambia wakenya wasilipe kodi kwa serikali ya kaunti ya mombasa
~kutumia wizara za serikali vibaya kama polisi
~kupandisha na kushukisha bei za unga atakavyo.

Anyway wacha akazane Kenya tutaona miezi moto zijazo nina uhakika Uhur hatakuwa Rais wangu more than a Year from now...hata akwamilie aje hatoweza.......Jela na ICC ndio wanafaa waende na wabunge wao kadhaa kujibu mashtaka ya uuwaji kwa kutumia polisi, kupoteza pesa za umma etc!!!!

Yote nayosema Mwanzi1
Uhuru hana nguvu za kubadilisha katiba Kenya

Ila ni sheria amebadilisha
Umejaribu kutoa maelezo mengi ili ueleweke
tatizo nikama umepanic kijana
Lugha ya kiswahili Naona inakusumbua kidogo
Jaribu Kiluo tu
 
You sound bitter mseiya!!
 
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Public Administrationa anaweza kuja hapa na akasema kabisa kua huyu jamaa hajui anachokisema.

Tz sheria na katiba zimeungwa pamoja? Tangu lini?

Yaweza kua siyo wote ila kuna wakenya ni shit sana.
 
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Public Administrationa anaweza kuja hapa na akasema kabisa kua huyu jamaa hajui anachokisema na hatakua muongo.

Tz sheria na katiba zimeungwa pamoja? Tangu lini?

Yaweza kua siyo wote ila kuna wakenya ni shit sana.
Tye tye Huyo ni mtoto wala usisumbue kichwa
Kizazi cha 1990+ ndio majanga yao hayo
 
Umeeleweka hasa kwenye tofauti ya katiba na sheria,...but umemaliza vibaya,hasa kwenye issue ya ICC katika conclusion yako, means umehitimisha kwa kuhama topic.
 
Kuna Sheria
Kuna Katiba
Sheria zinafaa zifwate kanuni za Katiba ili ziwe sheria kama hazifwati katiba basi sio sheria mwafaka

Ninaweka reply yangu kama thread ili muelewe mnayo ongelea juu naona tu mna kurupuka kuweka mawazo yenu yasiyo na any standing kwa issue za Kenya msiyo yaelewa

Kenya ina Sheria na Katiba haya mawili sio kitu moja ila zina tegemeana!!....sio kama tanzania ambayo sheria ziko embedded kwa katiba...hapa juu sheria na katiba ni vitu mbili tofauti!!
Wameveruga Sheria Mwanzi1 wala sio katiba.... kubadilisha katiba Unafaa uite referendum....hyo sheria mtu yeyote anaweza enda kortini na ai pindue hata Rais akiweka saini yake haitajalisha ....know the difference .....hata kumtoa Chief justice, Uhuru ni mpaka aitishe Kura hawezi ambia Ikulu ama Bunge imtoe haina uwezo...ngoja uone by 26th hyo sheria na vipengele walio ongeza itakuvutiliwa mbali!!...tayari upinzani ushaenda kortini!!!...hakutakuwa na Kura hata hivyo!!!!

Kuna difference kati ya

1. SHERIA

2. KATIBA

angekuwa amebadili katiba kenya wakati huu hakunge kalika .....hyo ni Sheria amebatili

Kama sheria haiambatani na kanuni zilizo wekwa katika katiba mtu anaenda kortini na kuweka kesa yake na ku convince ma jajii kuwa sheria hyo haiambatani na katiba ya nchi ...basi inambidii amfanye jaji aelewe akielewa anatoa uamuzi wake iwapo sheria hyo itatumika au laaa....

Okiya omtata ambaye ni civil activist ameenda tayari Kortini kuitupilia mbali sheria hio....

Hata bado Uhuru hajaiweka saini yake kwa sheria hyo!!!...

Kubadilisha Katiba nchini Kenya utahitaji

Kura ili ujur maoni ya watu.....

Jinsi ya Kupata Kura ni Kuchukua

Saini ya watu
Millioni moja na ID number zao na Kusubmit kwa IEBC for Referendum au

Kuchukua Kesi yako kwa Bunge na kupata Kura 2/3 ya wabunge wote lower na Upper house alafu ndio uende tena kuitisha kura ya maoni Elections....

Hakuna kitu ya maana Uhuru amefanya that is why no opposition leader recognises anything he has done since nullyfication ...akipoteza kiti chake ako liable yo criminal amd jail terms kwa amount of breaches amefanyia Katiba

Na hyo ndio inamwogopesha juu akipoteza kiti yake Utaona more than 30% of Jubilee mps go for criminal hearings to answer for the breach they have done on constitution kama
~Kubadilisha sheria peke yao bila wapinzani
~kutumia ma katibu wa wizara kupiga kampaign
~kutumia statehouse kupiga campaigns
~kuambia wakenya wasilipe kodi kwa serikali ya kaunti ya mombasa
~kutumia wizara za serikali vibaya kama polisi
~kupandisha na kushukisha bei za unga atakavyo.

Anyway wacha akazane Kenya tutaona miezi moto zijazo nina uhakika Uhur hatakuwa Rais wangu more than a Year from now...hata akwamilie aje hatoweza.......Jela na ICC ndio wanafaa waende na wabunge wao kadhaa kujibu mashtaka ya uuwaji kwa kutumia polisi, kupoteza pesa za umma etc!!!!

Yote nayosema Mwanzi1
Uhuru hana nguvu za kubadilisha katiba Kenya

Ila ni sheria amebadilisha

uhuruto tano tena, hahahahah! unasikia uchuuungu lakin huna namna, uhuruto tano tena
 
Hawa hawajui chochote... utawakuta wanapiga hadithi za vijiweni tuu... Utacheka, you would think ni top analysts on issues Kenyan
 
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Public Administrationa anaweza kuja hapa na akasema kabisa kua huyu jamaa hajui anachokisema.

Tz sheria na katiba zimeungwa pamoja? Tangu lini?

Yaweza kua siyo wote ila kuna wakenya ni shit sana.

acha tuwape shule kidogo kidogo. maana wengi ni laymen kwenye mambo mengi tu.
 
huu mchezo hauhitaji hasira. malizeni uchaguzi wenu kwa amani mjenge nchi yenu.
 
Back
Top Bottom