Kwa wa Tanzania wanaojifanya kujua kinachoendelea Kenya

Hivi unafikiri kuandika maneno mengi na kiswahili kilicho pinda ndo hoja?

Kwanza unaposema Watanzania hawajui Katiba ya Kenya na Sheria zake ni umbumbumbu wako.

Nakusema Sheria na Katiba si Kama Tanzania zipo mbali, ni uelewa mdogo unakusumbua.

Kote Kenya na Tanzania, Sheria zinatokana na Katiba, na unacho sema kubatilishwa kwa Seria ni rahisi kuliko Katiba ndivyo ilivyo kote.

Chamuhimu hapo ni Uhuru wa Mahakama ya Kenya upo juu zaidi ya Tanzania, nawana weza kubadili Sheria bila kuogopa Shinikizo.

Ugumu wa kumuondoa Jaji Mkuu upo kote hata Tanzania, tunatofautiana tuu Mchakato wakumpata.

Jibu hoja kwa hoja bila kujificha kwenye kichaka Cha Ukenya.
 
Sam ulikuwa na point lakini nadhani emotions zimekuchanganya umeanza kujichanganya!

Kwanza nakushauri ukiandika kitu uwe unaweza kukijustfy! Kwa mfano umesema katiba na sheria za tz ziko embedded pamoja! Unaweza kulithibitisha hili? Na kama huwezi kulithibitisha hili basi utakuwa unawakilisha kundi kubwa sana la wakenya wenzio ambao ni mbumbumbu kwenye masuala yanayoendelea wenye nchi nyingine!

Lakini kuonyesha kuwa pengine unachokiongea hukijui, umetuhakikishia kuwa hapo Kenya katiba na sheria ni vitu viwili tofauti! Basi tunakubaliana na hilo!

Sikitiko langu ni pale unaposhindwa kusimamia kauli yako hii na kujikuta unasema kuwa eti ikitokea uhuru akashindwa uchaguzi, basi lazima yeye na 30% ya mp wa jubelee watafikishwa korokoroni kwa kile unachosema ni KUVUNJA SHERIA YA KENYA KWA KUBADILISHA SHERIA BILA KUFUATA UTARATIBU

Sasa ndg yangu Sammuel999 kipi ni kipi hapa? Huoni kuwa tunarudi pale pale kuwa kuvunja sheria ni sawa na kuvunja katiba ya nchi maana sheria zote zipo kwa mujibu wa katiba?


Mwisho, kile ambacho watu wengi wamekuwa wanaongea humu ni huo utaratibu usioeleweka wa kubadili vifungu vya sheria haraka haraka vya kuwalinda UHURUTO, huku kila siku mkiimba ngonjera humu na kusifiwa na wasiojua takwimu kuwa mna demokrasia kubwa?

Utaratibu anaoufanya Kenyata kubadili sheria hauna tofauti na anaofanya Mseven na kagame!
 
Hawa ndio vijana wasomi wa kenya!!! Jaribu kukaa kwa utulivu uandike kwa evidences na references.
 
Nyie mna uhuru gani wa kuhoji, tangu August mwaka huu polisi wameshaua zaidi ya raia 50 kwa kosa la kuandamana tu, wengine watoto kabisa wako wa hawana hatia yoyote. Mara ya mwisho kusikia raia ameuliwa kwenye maandamano Tz ni lini?
 
Nyie mna uhuru gani wa kuhoji, tangu August mwaka huu polisi wameshaua zaidi ya raia 50 kwa kosa la kuandamana tu, wengine watoto kabisa wako wa hawana hatia yoyote. Mara ya mwisho kusikia raia ameuliwa kwenye maandamano Tz ni lini?
Tz mnauliwa hata kabla fikra ya kundamana ifike hatua ya kufanya kweli. Au unadhani hatujui kuhusu shughli za kuogelea zinazoendelea pale Coco Beach?
 
Tz mnauliwa hata kabla fikra ya kundamana ifike hatua ya kufanya kweli. Au unadhani hatujui kuhusu shughli za kuogelea zinazoendelea pale Coco Beach?
Umesikia nani kapoteza ndugu yake wewe ? Tz ukiongea ujinga utapewa kesi yako na kuishia kulipa 7m Tsh, hakuna mauaji ya kijinga kijinga huku. Ndio maana Lissu kujeruhiwa na risasi tu imekuwa inshu wakati Kenga watu wanauliwa kabisa kwa makumi ila ni kitu cha kawaida.
 
Tz mnauliwa hata kabla fikra ya kundamana ifike hatua ya kufanya kweli. Au unadhani hatujui kuhusu shughli za kuogelea zinazoendelea pale Coco Beach?
Umeskia wapi mtu analalamika kuwa kapotelewa na ndg yake?
 
Punguza gongo
 
Waoga kabisa, nani atajitokeza kusema amepoteza ndugu yake? Si pia yeye ataogelea tu? Hakunaga wanaume kabisa huko.
Hilo sio suala la kubishania, labda kama na wewe unatafuta political attention.

Miili kuokotwa kwenye fukwe za bahari haijaanza kutokea tz, nenda maeneo mengi ambayo yanakumbwa na tatizo la kusafirisha wahamiaji haram hasa kupitia njia ya maji mambo kama haya hutokea mara kwa mara!
 
juzi juzi kwenye ufukwe wa ziwa nyasa upande wa Malawi iliokotwa miili zaidi ya ishirini ya waethiopia waliokuwa wanaelekea RSA.
so this is normal in reparian countries.
 
Tz mnauliwa hata kabla fikra ya kundamana ifike hatua ya kufanya kweli. Au unadhani hatujui kuhusu shughli za kuogelea zinazoendelea pale Coco Beach?
Hizo maiti wala sio za kisiasa bongo, hakuna walioreport kupotelewa. Na inasemekana zinatokea Msumbiji
 
Povu kwa waTZ
Hawa watu hua hawaelewi Kenya ndio maana kila siku watajipata wakiwa wamekosea kwa prediction zao, mara utaskia wakenya watachapana hivi karibuni, mara sijui watatupiku....
 

Usilete campaign za Nasa kwa platform ya Tanzania.
Nasa MPs walked out of the debates. They can't be forced.

Everything else you've said is nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…