karatu one
Member
- Jul 4, 2013
- 60
- 6
habari zenu wanajamvi
kwa wale wa udsm jaman kama kuna mtu (boy) amepangwa room main campus na yy anataka mabibo naomba tufutane maana mm nimepangwa mabibo ila napendelea main campus
nitumie PM au use this number 0789 913 931
natanguliza shukrani za dhati kwa watakao show positive response!!