kwa wa udsm tu!

kwa wa udsm tu!

karatu one

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
60
Reaction score
6
habari zenu wanajamvi
kwa wale wa udsm jaman kama kuna mtu (boy) amepangwa room main campus na yy anataka mabibo naomba tufutane maana mm nimepangwa mabibo ila napendelea main campus
nitumie PM au use this number 0789 913 931
natanguliza shukrani za dhati kwa watakao show positive response!!
 
usifuate mkumbo wewe kakae mabibo main pachafu sana,kujisaidia tu mpaka uende theater au SR

quote_icon.png
By karatu one

thnx tata mvoni kwa ushauri wako!!!
 
Brother, mimi nataka chance hiyo please naomba nitafute na 0753006927
natanguliza shukurani kaka.
​
 
Back
Top Bottom