Kwa waajiri na watu wenye fursa za kazi

Kwa waajiri na watu wenye fursa za kazi

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
41
Reaction score
19
TANGAZO KWA WAAJIRI – FURSA ZA AJIRA
‎
‎Unahitaji wafanyakazi wenye weledi, waaminifu na walio tayari kuanza kazi mara moja?
‎Joshua – Jobs Agent inakuletea suluhisho rahisi, la haraka na la uhakika kwa mahitaji yako ya wafanyakazi.
‎
‎Tunawaunganisha waajiri na:
‎✅ Madereva
‎✅ Wahudumu wa migahawa/hoteli
‎✅ Wafanyakazi wa ofisini na usafi
‎✅ Housekeepers
‎✅ Walinzi
‎✅ Wenye taaluma mbalimbali (HR, uhasibu, pharmacy, walimu n.k.)
‎
‎Miongoni mwa faida
‎✅Tunarahisisha mchakato waupatikanaji wafanya Kazi (Waajiriwa).
‎✅Mchujo: Tunafanya Mchujo mapema kwaajiri ya utambuzi nakujia vigezo sahihi vya Waajiriwa ukilinganiaha na fursa yakazi usika. Hii inapunguza lundo la watu wasiokua na vigezo husika kufanya mchakato kuchukua mda mrefu.
‎
‎Mawasiliano.
‎📞 Normal Call: 0627 776 134
‎📱 WhatsApp: 0714 016 639

‎Tuma nafasi yako ya kazi leo — Upate mfanyakazi sahihi kwa wakati sahihi!.
‎
‎Joshua – Jobs Agent
‎Uaminifu, uwajibikaji ni msingi wa Huduma yetu
‎
‎Hii ni kwa Tanzania nzima. Karibu
 
Back
Top Bottom