Kwa waalikwa wote leo

Kwa waalikwa wote leo

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Tafadhali ukialikwa nenda kale Sepa, Mambo ya kusumbua watoto wa aliyekualika mara unasoma darasa la ngapi mara umekuwa mwanangu mara nihesabie mpaka 10 hatutaki safari Hii, Tunajua kilichokuleta ni kudoea kwa hiyo we kula sepa bana usivunge uko bize na watoto huku minyoo inakukata..

Wengine huwa mnaulizia hadi past papers, reports za shule n.k
 
Na mambo ya kusifia hata kama si kizuri....very delicious....acha unafiki waambie msosi hauko poa
 
Tafadhali ukialikwa nenda kale Sepa, Mambo ya kusumbua watoto wa aliyekualika mara unasoma darasa la ngapi mara umekuwa mwanangu mara nihesabie mpaka 10 hatutaki safari Hii, Tunajua kilichokuleta ni kudoea kwa hiyo we kula sepa bana usivunge uko bize na watoto huku minyoo inakukata..

Wengine huwa mnaulizia hadi past papers, reports za shule n.k
Hahaha hahahahahaha haha
 
Mala ooooh sijui"Lini unarudi shule?"akati unajua kabisa ni Jumatatu.
 
Back
Top Bottom