Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Tafadhali ukialikwa nenda kale Sepa, Mambo ya kusumbua watoto wa aliyekualika mara unasoma darasa la ngapi mara umekuwa mwanangu mara nihesabie mpaka 10 hatutaki safari Hii, Tunajua kilichokuleta ni kudoea kwa hiyo we kula sepa bana usivunge uko bize na watoto huku minyoo inakukata..
Wengine huwa mnaulizia hadi past papers, reports za shule n.k
Wengine huwa mnaulizia hadi past papers, reports za shule n.k