Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Unakutana nao wap?ambao hatujaalikwa tuna kila sababu za kuwasumbua sasa hao watoto.
hilo ndio swali la msingi..Unakutana nao wap?
Hahaha hahahahahaha hahaTafadhali ukialikwa nenda kale Sepa, Mambo ya kusumbua watoto wa aliyekualika mara unasoma darasa la ngapi mara umekuwa mwanangu mara nihesabie mpaka 10 hatutaki safari Hii, Tunajua kilichokuleta ni kudoea kwa hiyo we kula sepa bana usivunge uko bize na watoto huku minyoo inakukata..
Wengine huwa mnaulizia hadi past papers, reports za shule n.k