Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hakuna kinachoshindikana,kama waliweze kukupangia Ruvuma watashindwaje kukupangia Arusha?,ila nadhan ukitaka kupata chakula kizur unachopenda ni kuwah jikoni kwa wapishi.nafikir umenipata mkuu
shukran Vp best unaweza nisaidia walau ni2mie mbinu gan?
kwani umepangiwa wap? Au ndo ajira mpya ya mwezi wa 3?,kama ni ajira mpya ya mwezi wa tatu wahi pale wizaran kwa kawambwa mtafute mtu anayeweza kukupa channel upangiwe sehemu unayotaka ilatachangia gharama za uendeshaji.nadhani umenipata mkuu.