Kwa wababe wa karate

KOKUTSU DACHI stance ila kwa posture aliyokaa inaonekana anacheza KYOKUSHIN KARATE
Kwa wale wanaosema wanampiga simply niweke hivi kokyushin karate ni tofauti na karate style nyengine kwa kuwa yenyewe ni full contact karate means huyo mdada akikugusa kokote lazima ukae na ime base kwenye traditional stances na mitupo .
 
UKIONA MTU AMEKAA STYLE YA KUJAMBA KIMBIA SANA tena kama kuna bodaboda mwambie akuwahishe chap home hilo pigo lake acha kabisa.....πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
unamchomeka kidole kwenye biriani tuu.

Wakubwa wenzangu mnaelewa.
 
UKIONA MTU AMEKAA STYLE YA KUJAMBA KIMBIA SANA tena kama kuna bodaboda mwambie akuwahishe chap home hilo pigo lake acha kabisa.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Stance aliyokaa ni kokutsu dachi, yupo katika shuto uke safi sn mdada
 
Huyo naomba aje anipige Mimi, halafu hapo sasa nitafurahi kwasababu tayari nitakuwa nimepata mpenyo wa kumpata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…