Kwa wababe wa karate

Kwa wababe wa karate

fizgame

Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
48
Reaction score
40
usiombe ukutane nae kwenye anga zake
IMG_0189.JPG
 
KOKUTSU DACHI stance ila kwa posture aliyokaa inaonekana anacheza KYOKUSHIN KARATE
Kwa wale wanaosema wanampiga simply niweke hivi kokyushin karate ni tofauti na karate style nyengine kwa kuwa yenyewe ni full contact karate means huyo mdada akikugusa kokote lazima ukae na ime base kwenye traditional stances na mitupo .
 
UKIONA MTU AMEKAA STYLE YA KUJAMBA KIMBIA SANA tena kama kuna bodaboda mwambie akuwahishe chap home hilo pigo lake acha kabisa.....🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
unamchomeka kidole kwenye biriani tuu.

Wakubwa wenzangu mnaelewa.
 
UKIONA MTU AMEKAA STYLE YA KUJAMBA KIMBIA SANA tena kama kuna bodaboda mwambie akuwahishe chap home hilo pigo lake acha kabisa.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Stance aliyokaa ni kokutsu dachi, yupo katika shuto uke safi sn mdada
 
Huyo naomba aje anipige Mimi, halafu hapo sasa nitafurahi kwasababu tayari nitakuwa nimepata mpenyo wa kumpata.
 
Back
Top Bottom