GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unajijua kabisa kuwa unamchukia 'Mtemi' mpya 'anayesimikwa' leo huko 'Omba Omba Land' na pengine tokea 'akuangushe' kwa Kiwango cha 84.4 katika Mpambano wake na Yeye umemtishia mno kumuharibia na mpaka kumshtakia kwa 'Wazungu' ambao nao leo hii 'wanaibiana' Kura huko Michigan, Georgia, Wisconsin na Pennsylvania lakini tokea Asubuhi hadi muda huu 'umeganda' katika 'Runinga' yako ukishuhudia 'tukio' la Adui.
Kuna Mtu kaniambia hili nalo ni tatizo la 'Akili' hivyo basi kwakuwa 'Wadau' wa JamiiForums ni 'Werevu' sana hapa mtanisaidia kunielewesha nami.
Kuna Mtu kaniambia hili nalo ni tatizo la 'Akili' hivyo basi kwakuwa 'Wadau' wa JamiiForums ni 'Werevu' sana hapa mtanisaidia kunielewesha nami.