Kwa wabobezi wa Soka, nini tofauti ya Klopp na Guardiola?

klopp kocha mwenye kukuza na kufundisha kiwango cha mchezaji anaetengeneza timu na nidhamu lakini pep anatengeneza tim ya ushindi tu tena kwa gharama yeyote ile!!!kwangu klopp ni bora dhid ya pep,mourinho,massimiliano etc
 
Kropp anatengeneza timu from the bottom to the peak, Guardiola anatengeneza kikosi cha ushindi, Kati ya hao wawili in the long run kocha mzur ni Klopp , in the short run ni Guardiola....!!
 
Kropp anatengeneza timu from the bottom to the peak, Guardiola anatengeneza kikosi cha ushindi, Kati ya hao wawili in the long run kocha mzur ni Klopp , in the short run ni Guardiola....!!
Mkuu ujaeleweka vizuri ; hii bottom to peak unamaanisha nini? na kikosi cha ushindi hakitengenezwi from the bottom to peak ? nieleweshe vizuri kama hutojali.
 
Guadiola:
Anajenga timu kwa kuangalia nafasi ya mchezaji, timu kwa kucheza mpira wa kuvutia na kutoa burudani kwa mashabiki.
Timu kupata matokeo mazuri na kushinda viombe.
Kuangalia kipaji halisi cha mchezaji, mchezaji kujituma na pia ni kocha asiyekata tamaa mpaka dk za mwisho wa mchezo. kwa uchache tu

Klopp:
Ni kocha asiyeamini katika mafanikio ya pesa kua inaweza kuleta mafanikio.
Ni kocha anayeamini kupata mafanikio pindi kikosi chake kikiwa katika hali nzuri yenye hari na kasi nzuri.
Ni kocha mzembe asiye na mbinu ya ziada pindi wachezaji wake wamezidiwa mbinu uwanjani hivyo anashindwa kuwafanya wachezaji watumie mbinu mbadala.
 
Mkuu ujaeleweka vizuri ; hii bottom to peak unamaanisha nini? na kikosi cha ushindi hakitengenezwi from the bottom to peak ? nieleweshe vizuri kama hutojali.
Namaanisha Klopp anamtengeneza mchezaji taratibu mpak anakuwa tishio, Guardiola anatengeneza timu kupitia wachezaji wenye vipaji tayar , hawez kumjenga mchezaji taratibu thus why anatumia pesa nying Sana kufanikisha Lengo kwada mfupi, hvyo kwa mafanikio ya mda mrefu Klopp ni kocha sahihi lakn kama unataka mafanikio ya haraka Guardiola ndo kocha sahihi,.....
 
klopp kocha mwenye kukuza na kufundisha kiwango cha mchezaji anaetengeneza timu na nidhamu lakini pep anatengeneza tim ya ushindi tu tena kwa gharama yeyote ile!!!kwangu klopp ni bora dhid ya pep,mourinho,massimiliano etc
Kropp anatengeneza timu from the bottom to the peak, Guardiola anatengeneza kikosi cha ushindi, Kati ya hao wawili in the long run kocha mzur ni Klopp , in the short run ni Guardiola....!!
Nimemfatilia klopp tangu akiwa BVB jamaa anatengeneza world class players na anajua kuwatumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp is a genius, Guads is just a random useless fella
Mmoja ni mtaalam wa mafanikio ya haraka haraka mwingine ni mtaalam wa mafanikio ya kuyasubiri

Acheni upumbavu nyie mafala nitajie mchezaji yeyote chini ya kloop aliyewai kuwa kwenye kiwango bora dhidi ya xavi messi iniesta au bousquets
 
xavi,busquet,messi n.k ni product ya lamasia sio ya gurdiola!!!hata yeye alisema kuwa alipata mafanikio chini ya wachezaji wazuri aliowakuta!mesi alianza kucheza kabla pep hajawa kocha,xavi,iniesta pia walicheza chini ya rijkaard japo walianzia sub baadhi yao!!!
 
Huwezi kusifia mafanikio yao bila kumtaja Pep
 
View attachment 1309235

Acheni upumbavu nyie mafala nitajie mchezaji yeyote chini ya kloop aliyewai kuwa kwenye kiwango bora dhidi ya xavi messi iniesta au bousquets
xavi ,iniesta walikiwasha since 2008 wakachukua Euro na timu ya taifa, hapo Pep alikua hata hajaanza ifundisha Barca.

messi aliingia 3 bora balondor 2007, Pep alikua hajaanza ifundisha Barca

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1309235

Acheni upumbavu nyie mafala nitajie mchezaji yeyote chini ya kloop aliyewai kuwa kwenye kiwango bora dhidi ya xavi messi iniesta au bousquets
Hao uliowataja angekuwa kawatengeneza yeye sawa, mijitu kaikuta na miujuzi yao halafu unasifia, mbona hakufanya hayo alivyokuwa munchen?
 
Hao uliowataja angekuwa kawatengeneza yeye sawa, mijitu kaikuta na miujuzi yao halafu unasifia, mbona hakufanya hayo alivyokuwa munchen?

Kwa umri waliokuwa nao pep ndio amechangia wao kuwa bora embu nitajie wachezaji ambao kloop kawatengeneza wakawa kwenye level kubwa
 
Reactions: Qwy
Kwa umri waliokuwa nao pep ndio amechangia wao kuwa bora embu nitajie wachezaji ambao kloop kawatengeneza wakawa kwenye level kubwa
TAA unamchukulia poa eeh? Hapo bado kinda subiri akomae
 
Ni mchezaji yupi Klop amentengeneza taratibu hadi kuja kua tishio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAA unamchukulia poa eeh? Hapo bado kinda subiri akomae
Yaani hapo umemtaja huyo tu, taja hata wengine wawili tuona, mana wachezaji wote wa Liverpool wamevhukuliwa wakiwa wameuwasha walikotoka.
Pepe kawaibui wachezaji wengi sana kuliko hao makocha wengine, Busquat, Thiogo, Pedro, nk pale man city kuna wachezaji walikua na viwango vya kawaida lakini baada kuingia Pep wamekua tishio, KDB alikataliwa na Jose Pep kamfanya kua tishio,
Huyo klop mchezaji ambaye amemwibua ni huyo Anold pekeake lakini wote pale wamekuja Liverpool wakiwa na ubora wao. Kama akina Mane, Salah, Fabinho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…