Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ujaeleweka vizuri ; hii bottom to peak unamaanisha nini? na kikosi cha ushindi hakitengenezwi from the bottom to peak ? nieleweshe vizuri kama hutojali.Kropp anatengeneza timu from the bottom to the peak, Guardiola anatengeneza kikosi cha ushindi, Kati ya hao wawili in the long run kocha mzur ni Klopp , in the short run ni Guardiola....!!
Namaanisha Klopp anamtengeneza mchezaji taratibu mpak anakuwa tishio, Guardiola anatengeneza timu kupitia wachezaji wenye vipaji tayar , hawez kumjenga mchezaji taratibu thus why anatumia pesa nying Sana kufanikisha Lengo kwada mfupi, hvyo kwa mafanikio ya mda mrefu Klopp ni kocha sahihi lakn kama unataka mafanikio ya haraka Guardiola ndo kocha sahihi,.....Mkuu ujaeleweka vizuri ; hii bottom to peak unamaanisha nini? na kikosi cha ushindi hakitengenezwi from the bottom to peak ? nieleweshe vizuri kama hutojali.
klopp kocha mwenye kukuza na kufundisha kiwango cha mchezaji anaetengeneza timu na nidhamu lakini pep anatengeneza tim ya ushindi tu tena kwa gharama yeyote ile!!!kwangu klopp ni bora dhid ya pep,mourinho,massimiliano etc
Kropp anatengeneza timu from the bottom to the peak, Guardiola anatengeneza kikosi cha ushindi, Kati ya hao wawili in the long run kocha mzur ni Klopp , in the short run ni Guardiola....!!
Nimemfatilia klopp tangu akiwa BVB jamaa anatengeneza world class players na anajua kuwatumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp is a genius, Guads is just a random useless fella
Namaanisha Klopp anamtengeneza mchezaji taratibu mpak anakuwa tishio, Guardiola anatengeneza timu kupitia wachezaji wenye vipaji tayar , hawez kumjenga mchezaji taratibu thus why anatumia pesa nying Sana kufanikisha Lengo kwada mfupi, hvyo kwa mafanikio ya mda mrefu Klopp ni kocha sahihi lakn kama unataka mafanikio ya haraka Guardiola ndo kocha sahihi,.....
Mmoja ni mtaalam wa mafanikio ya haraka haraka mwingine ni mtaalam wa mafanikio ya kuyasubiri
xavi,busquet,messi n.k ni product ya lamasia sio ya gurdiola!!!hata yeye alisema kuwa alipata mafanikio chini ya wachezaji wazuri aliowakuta!mesi alianza kucheza kabla pep hajawa kocha,xavi,iniesta pia walicheza chini ya rijkaard japo walianzia sub baadhi yao!!!
xavi ,iniesta walikiwasha since 2008 wakachukua Euro na timu ya taifa, hapo Pep alikua hata hajaanza ifundisha Barca.View attachment 1309235
Acheni upumbavu nyie mafala nitajie mchezaji yeyote chini ya kloop aliyewai kuwa kwenye kiwango bora dhidi ya xavi messi iniesta au bousquets
Hao uliowataja angekuwa kawatengeneza yeye sawa, mijitu kaikuta na miujuzi yao halafu unasifia, mbona hakufanya hayo alivyokuwa munchen?View attachment 1309235
Acheni upumbavu nyie mafala nitajie mchezaji yeyote chini ya kloop aliyewai kuwa kwenye kiwango bora dhidi ya xavi messi iniesta au bousquets
Hao uliowataja angekuwa kawatengeneza yeye sawa, mijitu kaikuta na miujuzi yao halafu unasifia, mbona hakufanya hayo alivyokuwa munchen?
TAA unamchukulia poa eeh? Hapo bado kinda subiri akomaeKwa umri waliokuwa nao pep ndio amechangia wao kuwa bora embu nitajie wachezaji ambao kloop kawatengeneza wakawa kwenye level kubwa
Una mtindio wa ubongo.... Usikurupuke kutukana watu hovyo bila kufanya utafitiHuwezi kusifia mafanikio yao bila kumtaja Pep
Ni mchezaji yupi Klop amentengeneza taratibu hadi kuja kua tishio?Namaanisha Klopp anamtengeneza mchezaji taratibu mpak anakuwa tishio, Guardiola anatengeneza timu kupitia wachezaji wenye vipaji tayar , hawez kumjenga mchezaji taratibu thus why anatumia pesa nying Sana kufanikisha Lengo kwada mfupi, hvyo kwa mafanikio ya mda mrefu Klopp ni kocha sahihi lakn kama unataka mafanikio ya haraka Guardiola ndo kocha sahihi,.....
Yaani hapo umemtaja huyo tu, taja hata wengine wawili tuona, mana wachezaji wote wa Liverpool wamevhukuliwa wakiwa wameuwasha walikotoka.TAA unamchukulia poa eeh? Hapo bado kinda subiri akomae