Kwa wabobezi wa Soka, nini tofauti ya Klopp na Guardiola?

View attachment 1309235

Acheni upumbavu nyie mafala nitajie mchezaji yeyote chini ya kloop aliyewai kuwa kwenye kiwango bora dhidi ya xavi messi iniesta au bousquets
Ukiona mtu anakimbilia matusi kwenye kujenga hoja zake ujuwe ana matatizo flan.
Hao Xavi na Iniesta walikuzwa kipaji chao na Guardiola?
Guardiola aliwakuta tayari wana kiwango kikubwa sana huko timu ya wakubwa.
 
Mats Hummels
Ilkay Gundogan
Robert Lewandowski
Virgil van Dijk
Mohamed Salah n.k
Nilikuwa nataka kuamini hoja yako lakini nilipoona umemuweka kwenye list Virgil Van Dijk nikaona hujui chochote!.. Kwa ufupi Makocha wote uliowataja wananunua mafanikio.. Ni msimu uliopita tu klopp kamnunua Van Dijk kwa kuvunja record ya usajili kwa mabeki.. Hebu tutajie wachezaji 3 tu ambao klopp kawaibua na kukuza vipaji vyao pale liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wate ni makocha wazuri. Ila kwangu Guandiola ni bora zaidi maana amefanikiwa kupata madini ya gwiji Johan Cruffy akiwa kama mchezaji na kocha pia, kupitia club ya barcelona.
Kila mmoja ana vision yake. Guandiola kila timu anayopewa anajitahidi icheze kama barca. Na hiki ndio kitu kafanikiwa sana, japo pale munich alifail kidogo.

Klopp ni kocha anayeweza kumchukua mchezaji ambaye alionekana wakawaida kabisa akambadilisha na kuwa mzuri. Mfano mzuri kwa pale liverpool ni Robertson. Huyu alikuwa wa kawaida lakini kwa sasa ni moto mkali. Mwingine ni TAA kwa umri wake Klopp aliamua kumwamini, na matokea yake dunia inashuhudia.

Liverpool inaweza kucheza mpira mbovu ikapata matokeo mazuri. Na city ya gandiola inaweza cheza mpira mzuri ikapata matokea mabaya.

Ikiwa Guandiola atapewa wachezaji alionao klopp leo pale liverpool, wallah hakuna hata m1 angemfaa. Ila Klopp akipewa wale wa city ataendelea kupata matokeo mazuri.



Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huwa napenda mwalimu na coach Anajua kumjenga mchezaj Mdogo kuwa mkubwa
 
Mtazamo wako unasemaje kuhusu hawa makocha wawili wa EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anaweza kuipandisha timu ya kiwango cha Ndanda hadi UEFA Champions League VS Guardiola anaweza kuishusha hadi Sunday League football.

kwa kuongezea, Mourinho anaweza kuibadili Ndanda kutoka football club na kuwa genge la wavuta bangi!!
 
KLOPP KANOA VISU HIVI
REUS
LEWANDOWSK
SHINJI KAGAWA
HUMMEL
TAA
PULISIC
NURI SAHIN
FIRMINO
ROBERTSON
WDJNAM
GURDIOLA KAWATENGENEZA HAWA
TELLO
PEDRO
SANCHO ALIMFUKUZA
BUSQUET
 
Hata Sadio Mane, VVD na AB1 hawatamfaa?
Are you serious?
 
The difference between City and Liverpool is that at least most Liverpool players have either come through the system or have been bought as good players and been developed into world class players at Liverpool. Salah was a Chelsea reject, Wijnaldum and Robertson from Newcastle and Hull, Oxlade Chamberlain going nowhere at Arsenal. Milner a free transfer from City. Trent, a Liverpool apprentice who has won the Champions League and World Championship at 20 and yet gets consistently ignored by Southgate. Henderson, a player Fergie didnt sign because his running style was not good apparently. There is more beauty in the development of this Liverpool team than Citys cheque book squad funded by its owners.
Pep is a fraud, takes over the best Barcelona team and then proceeds to have less success than the previous manager at Bayern. Go home Pep, you're drunk!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…