Wate ni makocha wazuri. Ila kwangu Guandiola ni bora zaidi maana amefanikiwa kupata madini ya gwiji Johan Cruffy akiwa kama mchezaji na kocha pia, kupitia club ya barcelona.
Kila mmoja ana vision yake. Guandiola kila timu anayopewa anajitahidi icheze kama barca. Na hiki ndio kitu kafanikiwa sana, japo pale munich alifail kidogo.
Klopp ni kocha anayeweza kumchukua mchezaji ambaye alionekana wakawaida kabisa akambadilisha na kuwa mzuri. Mfano mzuri kwa pale liverpool ni Robertson. Huyu alikuwa wa kawaida lakini kwa sasa ni moto mkali. Mwingine ni TAA kwa umri wake Klopp aliamua kumwamini, na matokea yake dunia inashuhudia.
Liverpool inaweza kucheza mpira mbovu ikapata matokeo mazuri. Na city ya gandiola inaweza cheza mpira mzuri ikapata matokea mabaya.
Ikiwa Guandiola atapewa wachezaji alionao klopp leo pale liverpool, wallah hakuna hata m1 angemfaa. Ila Klopp akipewa wale wa city ataendelea kupata matokeo mazuri.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk