Kwa wachambuzi wa soka okoeni jahazi

Kwa wachambuzi wa soka okoeni jahazi

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
ab738c0079498bdd084d76dc64b28815.jpg
naombeni kuuliza huo mpira umetoka nje au upo ndani???nimeamua kuuliza mana imetoka assist ambayo imesababisha goli ambalo limenitoa kwenye UEFA champions.
Sasa nataka. Kukata rufaa
 
Sheria zenu za mashindano zikoje???Na ktk PS kuna kukata rufaa.Huku kwenyewe mpaka leo tunasubiri rufaa yetu FIFA
 
Back
Top Bottom