dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
amna triki pale, ni practice ya kila siku ili usisahau 'pattern'Jamani hebu nipeni triki za msingi za draft, mimi huwa nachemka.
Kwani hana ki-bumbu?..hata akiwa chongo tunapiga miti tuApo unakuta unajibiwa ulipewa mke lkn chongo
Hahaa kwaiyo sifa ķi-bumbu mkuu?Kwani hana ki-bumbu?..hata akiwa chongo tunapiga miti tu
Tena inaddiction knoma nilikuaga Kemp moja ivi sasa nilikua najamaa yng mmoja iv asee upinzan minayy nizaid yasimba nayanga bas tukawa tunaona lile lakusubir foleni tunapoteza muda tukachora letu asee ligi iliyokua inaendelea apo nihatar gem linapigwa adi sa6 uckuamna triki pale, ni practice ya kila siku ili usisahau 'pattern'
ina addiction mbaya. hasa kwa madogo , kitaa kuna vitoto vya miaka 6 vinasukuma 'kokwa' ile mbaya.
mda wa shule wao wanapiga kete!
Mkuu hizo tunaita kopy au njia unafundishwa lakin uwe tayr unalijua dudemnifundishe hizo style
HahAaAJamaa akishakufunga mara kibao anakwambia ingekuwa kila anaefungwa anachanjwa, wewe sasa hivi ungekuwa kama mmakonde[emoji1438]♂️!
HahaaWe jamaa kama mlevi, akivuka daraja yupo kimya na makini akishavuka ndo anaanza nyimbo na matusi eeehhh mamaaa frankkkk utanitambuaaa
Hapa unamwambia mpinzani aliyekaa kimya alivobanwa na kuanza kuongea mda huo
Hili umeingia pango la ngiri, na yeye anakurupuka mnakutana uso kwa uso apo ndo utajua lile pale mbele ni jino au pembe
Hapo mpinzani ameingia sehemu sio
Unamwambia mpinzani Huyu jamaa ukimuona na mikwara yake kama ya nanasi..ohooo nina miiba nina miiba kumbe ndani mtaaamu kama nini
Itaendelea....
hizo cop zinachezwaje mkuuDraft raha sana...
Kuna kopi ukicheza hufungwi
1-Samba
2-Bana Mbili
3-Sumu ya pandu
4-Mnara mrefu
Mangwelele ana hatari yake
Ye ndo mwalim wa marehem mchafu