sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 714
pia kuna style ya kugogoe uliyeko nje unamwambia mchezaji wako acheze kete fulani lkn kimafumbo. (mfano ruka na sprite ) hii maana yake ashukume kete ya mbele kabisa ya kushambulia. 2 mfano wa pili ni hii ( kutoka tabora ni mi T Risasi majira radio tanzania) Hapa maana yake kuna tumbo unatakiwa utumbue ama anakuonya utatumbuliwa.T risasi alikuwa riporter wa RTD zamani akiitwa Tumbo Risasi. Pia kuna kakisu ka mkujo.nk