sheriff john brown
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 717
- 714
sumu ya pandu ni balaa ukilutana na anaeijua anaambulia sare..Draft raha sana...
Kuna kopi ukicheza hufungwi
1-Samba
2-Bana Mbili
3-Sumu ya pandu
4-Mnara mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli nimeamini mbuzi anan"gata
Hapo umefungwa na asiyejua pia hukutegemea
Hahahahaha katika draft ukisikia ngumi ujue hapo kuna mshamba mmoja kaingia katika mabewepia tuambieni kuna visa watu walipigana kwa maneno hayo au wote huwa wanavumilia???/
Huwezi kuta ngumi kwenye drafti licha ya maneno na matusi yote hayo. Ukiona ngumi jua kuna sababu zingine.pia tuambieni kuna visa watu walipigana kwa maneno hayo au wote huwa wanavumilia???/
Hahaa hivi kwanini iko ivyo?Mkuu areta!!!!
Ule mchezo kama una ratiba zako nyingine usiucheze
Kama masikhara unaanza saa 2 asubuhi unatoka saa moja usiku
Daaah mangwelele ana kasheshe sijaona kuna mwanafunzi wake alifariki mwaka jana anaitwa juma mchafu aisee alikua hatari sana yani hashikikiMkuu uliwahi kuwaona watu kama akina mangwelele akina amani siri na watu wengi watu wanalicheza lile dude mpaka we unaeangalia unapagawa
Mchafu alikua anatu zuilisha sareMangwelele ana hatari yake
Ye ndo mwalim wa marehem mchafu
3&1 hatariiiDraft raha sana...
Kuna kopi ukicheza hufungwi
1-Samba
2-Bana Mbili
3-Sumu ya pandu
4-Mnara mrefu
Hahaaa"naona unajaribu kuzuia mafuriko na makalio" apo mpinzani amezidiwa anatafta sare..."unatupa mtoto sababu ya upele"apo mpinzani anatoa kete bure ili apate ahueni...." ukitoa droo najing'ata mgongoni' apo unafunga kilaza mwanzo mwisho
sana hizo hutakiwi kufungwa hata aje bingwa gani.