Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
πŸ‡¨πŸ‡³ Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake...

Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke πŸ‘©β€πŸ¦°βœ¨
Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China β€” anasifika kwa sura yake ya kupendeza πŸ’« na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa huko.

πŸ‘—πŸ’ƒ Kwao, huu ndio muonekano wa mwanamke "perfect"!
Je, wewe unakubaliana na mtazamo huu wa Kichina kuhusu urembo? 🧐

CC: Shimba ya buyenze
 
Siwezi kut o mb a size hii yaani no election....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ere/tion
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama ni hovyo kuna mmoja ana matatizo ya akili kati ya sisi au wachina.
 
Hivi sio vitu vyangu kabisa. To be honest kama huna shape na zaidi nyashi sijavutiwa na mwanamke huyo. Over.
 
Mshana tumeanza fix kama online tv za bongo. Siyo wembamba huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…