Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

Huyo sio mwembamba Bali amekonda
 
Angekua wa Buza kanisani, unaambiwa huyo ni kimuli muli.
😂😂😂😂😂
 
Iyo picha ya tatu kulia kavaa sidiria.! ilo nyonyo la kuvalia sidiria kalitoa wapi na ufidodido
 
Mwenye Kupenda Haoni
Chongo Atasema Kengeza


Itoshe Kusema Hayo Machache Hapo Juu
 
Kwanza huo si wembamba acha fix mkongwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…