Curtis the Second
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 245
- 216
Ha ha ha itilie marinda kidogo,iwe na chachandu iliwe vizuri ata na vibogoyome niachieni flat yangu naifaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha itilie marinda kidogo,iwe na chachandu iliwe vizuri ata na vibogoyome niachieni flat yangu naifaidi
ha hahaha marinda hapana hivi hivi nitafunwe vizuriHa ha ha itilie marinda kidogo,iwe na chachandu iliwe vizuri ata na vibogoyo
Tena si kazi ndogo mama yangu! Acha TuAu wasivae kabisa . Ila wanawake tunakazi
tunatia huruma nawaza tu na wengi ni wa dar sasa na hili joto sa hivi uwiii akivua huko chini si kunafukuta.. imagine kavaa pedi chupi na hilo godoro na suruali.. mama yangu hatariTena si kazi ndogo mama yangu! Acha Tu
hahaha kazi inaanza pale unapochojioahaya magodoro.........Wana kazi wanaotafuta kuwapendeza watu.
Hivi, kujibebesha vitu vyote hvo unatafuta nn na ili iweje? Kama ni kupendwa unataka wangapi wawe wako na ili iweje???
Mwanamke n kujiamini na kujikubali, kuna anayekupenda ulivyo hivyo.
Au vipi jaman?????????????????
Hakika mimi sijibebeshi zigo lisilo na maana ukitoka nje umejazia ukirudi ndani umeungulia! Sasa unayajaza kwa ajili ya nani wakati wa ndani anajua huna,huna basiWana kazi wanaotafuta kuwapendeza watu.
Hivi, kujibebesha vitu vyote hvo unatafuta nn na ili iweje? Kama ni kupendwa unataka wangapi wawe wako na ili iweje???
Mwanamke n kujiamini na kujikubali, kuna anayekupenda ulivyo hivyo.
Au vipi jaman?????????????????
hahaha ili juma akupendetunatia huruma nawaza tu na wengi ni wa dar sasa na hili joto sa hivi uwiii akivua huko chini si kunafukuta.. imagine kavaa pedi chupi na hilo godoro na suruali.. mama yangu hatari
juma mwenyewe shida yake kitobo tuhahaha ili juma akupende
Ha ha ha upakatike kirahisi,ukiwa umeikalia kama kangaroo[emoji6]ha hahaha marinda hapana hivi hivi nitafunwe vizuri
hahahah unajipa moyoHakika mimi sijibebeshi zigo lisilo na maana ukitoka nje umejazia ukirudi ndani umeungulia! Sasa unayajaza kwa ajili ya nani wakati wa ndani anajua huna,huna basi
Kitonga cha asubuhi maporomoko ya jioni, sasa unamdanganya nani kwa mfano! Huku ni kujitesa tu na nafsi yako maana ukilivua na pumzi unashusha Oopsii [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] na Mungu unamshukuru kwa mambo ya kijiingaWavae tu ila waboreshe si wanataka wawe na kitonga
ha haha tuishie hapa nisije mwaga kuku kwenye mchele mwingi hautanogaHa ha ha upakatike kirahisi,ukiwa umeikalia kama kangaroo[emoji6]
Sio hivyo tu vipo mpaka vizibao vya kutengeneza kifua (six park) kwa wanaumeSiamini kama kuna hivyo vitu mpaka nije kuviona na kugusa.
wee wengine wanapenda nyamanyama za nyumajuma mwenyewe shida yake kitobo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo sponge zipo, mdada mwingine hapa juzi kanionesha duh tight lina mahips teh nikamuuliza kwahiyo ukifika kwa shem lake unasasambuaje, akasema bwana ake hajui hayo mambo anajua ni tight tu.....asee wanaume wanadorishiwa misamaki wakifika geto wanalishwa vidagaa
supu utumbo ndiyo shida yao hiyo.. me kwa kweli kaflat kangu natembea kama nasukumwa nipo tu na naringaje ha hahahawee wengine wanapenda nyamanyama za nyuma
wale wa supu za utumbo😱😱😱
mimi sasa nataka nibadilishe dress design kwa kweli sababu na sehemu inavuta nataka niiweke hadharanis sasa hahahahaMimi ni mmoja wa wanawake wasiokua na Msambwanda lakini naifurahia tu hali yangu ya kitako changu cha kukalia Baiskeli, nnachohakikisha nakichomekea kweli najipura yaani nang'ara mpaka nikitoka na baba Mwenye chake anajitanua mikono mfukoni...
I see una experience ya kutosha sana na wewe unakaa uswazi kama mimi eehA ni tight yenye kisponge ndani.
Ikivaliwa haikai vizuri, sponge inaweza kukaa upande hivo tako moja liwe juu, jingine chini, au sponge zikajikusanya kifupi haipendezi
B. Ni tight yenye matundu kama unavoiona inaitwa butty lifter nadhani.
Yenyewe haiongezi matako ila inafanya yawe na mwonekano mzuri make yanapigwa tu jeki