Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Mie nina "mzigo" sheikh
Ile mizigo ya sheikh kipozeo 😀
ASANTE KWA TAARIFA...MIE MDAU WA HIZO VITU ZA SHEIKH WETU UJUWEEE....NAOMBA NIJIKARIBISHE INBOX KWAKO KWA MJAKATO WA UMILIKI JAPO WA MSIMAMO WA UCKU MMOJA KIZUNGU 1 NIGHT STAND
 
Good morning jf.....

Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao wanatamani kupainua inua kuvutia utalii wa ndani na wa nje.
Leo nimejisikia tu kuwashauri watumiaji wa hii kitu

View attachment 428643

Sponge au vigodoro, asee hii kitu haiwapendezi hata kidogo, kuna dada majuzi kwenye sherehe alikuwa kavaa kigodoro alikua ni kituko yani nadhani akili yake ilikua inamwambia huku nyuma ana kakitonga flani hivi ila mmmh yani kigauni cha mpira anaonekana kabisa kavaa sponge vitako vimekaa vibaya
Mwingine nae mara upande moja liko juu upande mwingine lipo chini.

Nawashauri kwanini msitumie hii
View attachment 428648
Nahisi ukiivaa unakua comfortable, tako linakaa vizuri na linanyanyuliwa tu hakutakua na moja juu jingine chini.
Ni hivo tu.
Evelyn.....upo???
 
Nipo, sasa huku ndo pa kurushia tongozo sio kule kwenye ishu za maana.... Enheee nakusikiliza
Please fungua basi profile nkucheki kweli eti ....au kama vp nifollow maana nimejarb kuku-PM imeshindikana
....
 
Good morning jf.....

Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao wanatamani kupainua inua kuvutia utalii wa ndani na wa nje.
Leo nimejisikia tu kuwashauri watumiaji wa hii kitu

View attachment 428643

Sponge au vigodoro, asee hii kitu haiwapendezi hata kidogo, kuna dada majuzi kwenye sherehe alikuwa kavaa kigodoro alikua ni kituko yani nadhani akili yake ilikua inamwambia huku nyuma ana kakitonga flani hivi ila mmmh yani kigauni cha mpira anaonekana kabisa kavaa sponge vitako vimekaa vibaya
Mwingine nae mara upande moja liko juu upande mwingine lipo chini.

Nawashauri kwanini msitumie hii
View attachment 428648
Nahisi ukiivaa unakua comfortable, tako linakaa vizuri na linanyanyuliwa tu hakutakua na moja juu jingine chini.
Ni hivo tu.
 
Nilikuwa nilikuwa nasikia tu ila sijawahi hata kushuhudia kumbe watu wanavaa kweli.
hawa wavaa masponji wana moto wao pekeeyao😆😆😆

kuna siku jamaangu alitoka na mja mmoja baada ya kuvutiwa na uwekezaji wake uko nyuma akijua ni uwekezaji halisi🤣🤣🤣lahaula lakwata wamefika rum bana ile wameingia tu sasa si kuna zile nenda rudi za bafuni za kuoga na nn inaelekea bidada yule akatumia muda ule kuchomoa hayo masponji akayaficha bila jamaa kuyaona☻️☻️kutahamaki jamaa kajikuta yupo na kimodo flatskrini akabaki kushangaa na roho yake huyu kabadilika saangapi🤣🤣🤣maana sio yule kawa mwingine au imekuwaje😳
 
kuna dada majuzi kwenye sherehe alikuwa kavaa kigodoro alikua ni kituko yani nadhani akili yake ilikua inamwambia huku nyuma ana kakitonga flani hivi ila mmmh yani kigauni cha mpira anaonekana kabisa kavaa sponge vitako vimekaa vibaya
Kapicha kake tafadhali
 
Back
Top Bottom