multiple
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 389
- 627
AbsolutelyStrategy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbsolutelyStrategy
Hizo wanavaa sna wadada wa uswahilini..na wale wasaidizi wa nyumbanHiyo inatikisa chura au inafanya chura aonekane? Ningeivaa nione sema sijui ntavaa nikiwa naenda wapi maana
Hahaha neema za allah[emoji39]
We mdada kama umevaa hii sketi na chura,msambwanda, wowowo lako halijatingishika au kuvibrate wakati unatembea, basi sahau kabisa halitakaa litingishike tena maisha.
Tuseme tu wewe ni male mwenzetuView attachment 915611
Kuna zile nyingine za pundamilia..ngoja tuone kama zitakuja hapa
Kweli kabisa kiongozi..hata leo nimesahau njiaHivi visketi ukutane na mdada model wastani mwenye "kishundu" cha haja akivaa hicho ukipishana naye njiani lazima usahau unakokwenda.
Ubaya wa zile huwa zinawachora mikanda ya pichuZile nazo noma.!
Umetumia vigezi vipi mkuu? Hapo kwenye akili?Mkuu
Mimi chura naonaga ni ugonjwa tu .
Napenda flat coz wengi wana akili pia
Tokea nipo form 1 nimesoma na wanawake wenye makalio makubwa wote hawakua na akiliUmetumia vigezi vipi mkuu? Hapo kwenye akili?
Mkuu wana akili ila uzuri wao unawaharibu kwa kuwa wanaamini kuwa kupitia maumbo yao na uzuri wao kuwa watapata kila kitu wakisahau kuwa kila kitu kina muda wao na wanakuja kuchuja wanakuta hawana kitu ila.Tokea nipo form 1 nimesoma na wanawake wenye makalio makubwa wote hawakua na akili
Jf expert memberKweli ? Mbna avatar yako inaonesha kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na chura ?
Hizo wanavaa sna wadada wa uswahilini..na wale wasaidizi wa nyumban
Wewe ukivaa hyo itakua balaa bajaji zitapata sana ajali
Mdada ka mstari ka mwisho kama nakaelewa kwa mbaaaaaaliHiyo inatikisa chura au inafanya chura aonekane? Ningeivaa nione sema sijui ntavaa nikiwa naenda wapi maana
MhhBasi unanifaa
Bila kusahau zile za chui chuiKuna zile nyingine za pundamilia..ngoja tuone kama zitakuja hapa