Kwa wadada ambao wamevaa aina hii ya sketi na chura haijatikisika

Hivi visketi ukutane na mdada model wastani mwenye "kishundu" cha haja akivaa hicho ukipishana naye njiani lazima usahau unakokwenda.
We mdada kama umevaa hii sketi na chura,msambwanda, wowowo lako halijatingishika au kuvibrate wakati unatembea, basi sahau kabisa halitakaa litingishike tena maisha.
Tuseme tu wewe ni male mwenzetuView attachment 915611
 
Tokea nipo form 1 nimesoma na wanawake wenye makalio makubwa wote hawakua na akili
Mkuu wana akili ila uzuri wao unawaharibu kwa kuwa wanaamini kuwa kupitia maumbo yao na uzuri wao kuwa watapata kila kitu wakisahau kuwa kila kitu kina muda wao na wanakuja kuchuja wanakuta hawana kitu ila.
Hao ambao hawana maumbo hayo huwa hawavutii na wanachowaza wao ni kuwa elimu itawatoa so hutumia akili zao vizuri.
 
Hahahaaa.., kama ningekuwa na mke, hii sketi ningempiga marufuku kuivaa. Zimekuwa kama sare ya jiji alafu za kishamba shamba yani..,[emoji35]
 
Mkumbuke Jamani Hata hizi TV zetu za majumbani, Tulianza na Machogo ila sasa ivi Tupo kwa HD-LED FLAT SCREEN so Stay tunned
 
Ma chura ya nn?? yana kuaga na mabaka mabaka sana hadi kinyaa mala makovu makovu duh. Vitu simple ndo vya ukweli una kigeuza geuza unavyo taka mkuu sipendi machura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…