Kwa wadada: anakuzushia kutembea nae

mhhh bado hai apply saana...
 
sisemi since possibility ya kupewa tena iwepo
kutunza siri ni sifa ya kupewa tena na tena
we unaonaje?

ha haaaaaaaaa, rafiki,
yupo humu na anaijua id yako kwa hiyo unaogopa asije akakukatalia?
tunza siri mwaya, kwa vile unataka tena na tena................
 
ha haaaaaaaaa, rafiki,
yupo humu na anaijua id yako kwa hiyo unaogopa asije akakukatalia?
tunza siri mwaya, kwa vile unataka tena na tena................

wewe umetafsiri sasa
wala sio hivyo....
 
mwanaume anapokuzushia kutembea na wewe kwa sababu ya uzuri wako,kutoelewana,kutaka kuonekana kijogoo

na jamii ikapotoka kuhusu wewe, ni nini utakachofanya dhidi ya mwanaume huyo?

Unamkubalia ni kweli nilitembea nae ila kitandani huwa analia alafu wala hajatailiwa tehe tehe tehe nilifanyiwa mimi hivyo aibu ilikuwa gunia zima.
 
naomba kuuliza kitu kama utajibu ukweli tu.

Ni kwa nini uliamua kumzushia?nini kilikuvutia kusema hivyo, uzuri, kisasi??

Kongosho niliishi nae karibu sana hadi watu walihisi kuwa wangu alafu alikuwa white matata pale chuo watu walikuwa wanamfuata ila aliwalamba mabuti ndipo watu wakawa wananifuata mimi kuniuliza anae kula mzigo si nikajitaja mimi coz alikuwa mwanafunzi wangu katika mambo yote ya CALUCULATION na accounting.
 
ha haaaaaaaaaaaaaa, ukome. nadhani hutarudia tena
 
To me such a 'man',ain't gentleman
 
endelea kujidadavua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…