Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
Hahahahahaha, wewe sikuwezi! you're The Boss!!! :A S crown-2:utakuja pm au hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha, wewe sikuwezi! you're The Boss!!! :A S crown-2:utakuja pm au hapa?
Hahahahahaha, wewe sikuwezi! you're The Boss!!! :A S crown-2:
Lazima ujue. Ilikua sawa kabisa kuuliza. :lol:it was just a fair question
right?
Nyie mnaokataa kuna haya....................
1. unaona huyo mdada siyo hadhi yako, ni kama ulikosea kuwa naye, kwa hiyo unaona noma kusema ukweli.
2. una familia ambayo unaijali sana na unajua hayo mambo yakifika kwa familia hutajisikia vizuri.
....................
wengine wataendelea
uzuri kabla sijaona msg yake nilikuwa nimeshapost nilikotaka kupostHahahahahaha, wewe sikuwezi! you're The Boss!!! :A S crown-2:
wewe unakuwa na sababu gani?mhhh bado hai apply saana...
wewe unakuwa na sababu gani?
sisemi since possibility ya kupewa tena iwepo
kutunza siri ni sifa ya kupewa tena na tena
we unaonaje?
ha haaaaaaaaa, rafiki,
yupo humu na anaijua id yako kwa hiyo unaogopa asije akakukatalia?
tunza siri mwaya, kwa vile unataka tena na tena................
sasa kama siyo wa hapa au hajui id yako unaogopa nini?wewe umetafsiri sasa
wala sio hivyo....
Kumbe na wewe umeona? This guy is too much! hahahauzuri kabla sijaona msg yake nilikuwa nimeshapost nilikotaka kupost
uzuri ni kwamba hakuna linaloshindikana..................Kumbe na wewe umeona? This guy is too much! hahaha
mwanaume anapokuzushia kutembea na wewe kwa sababu ya uzuri wako,kutoelewana,kutaka kuonekana kijogoo
na jamii ikapotoka kuhusu wewe, ni nini utakachofanya dhidi ya mwanaume huyo?
Unamkubalia ni kweli nilitembea nae ila kitandani huwa analia alafu wala hajatailiwa tehe tehe tehe nilifanyiwa mimi hivyo aibu ilikuwa gunia zima.
Unaliacha tu linaongea likichoka litafunga domo lenyewe!!! Lol
naomba kuuliza kitu kama utajibu ukweli tu.
Ni kwa nini uliamua kumzushia?nini kilikuvutia kusema hivyo, uzuri, kisasi??
ha haaaaaaaaaaaaaa, ukome. nadhani hutarudia tenaKongosho niliishi nae karibu sana hadi watu walihisi kuwa wangu alafu alikuwa white matata pale chuo watu walikuwa wanamfuata ila aliwalamba mabuti ndipo watu wakawa wananifuata mimi kuniuliza anae kula mzigo si nikajitaja mimi coz alikuwa mwanafunzi wangu katika mambo yote ya CALUCULATION na accounting.
ha haaaaaaaaaaaaaa, ukome. nadhani hutarudia tena
Kongosho niliishi nae karibu sana hadi watu walihisi kuwa wangu alafu alikuwa white matata pale chuo watu walikuwa wanamfuata ila aliwalamba mabuti ndipo watu wakawa wananifuata mimi kuniuliza anae kula mzigo si nikajitaja mimi coz alikuwa mwanafunzi wangu katika mambo yote ya CALUCULATION na accounting.