Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wala sina
babe S you cant be serious. Hivi hata kusoma mtu anasikia uvivu? hapa ma dia unless kama hupend kusoma but kama unapenda mbona hiyo hafiki hata page moja ya A4? soma mamii kuna ujumbe mzuri sana.Nimetamani sana kujua kilichoandikwa, ila nimeshindwa so many words nimeskia uvivu kusoma
Napenda kusoma ila honestly nimefungua tu hiyo page nikasikia uvivu, anyways umeniencourage nitaisoma thnxbabe S you cant be serious. Hivi hata kusoma mtu anasikia uvivu? hapa ma dia unless kama hupend kusoma but kama unapenda mbona hiyo hafiki hata page moja ya A4? soma mamii kuna ujumbe mzuri sana.
Hili li siredi limekaakaa kikekike zaidi,Ngoja niulize kwanza!Je vidume kama sisi,hasa tulio mabikra tunaruhusiwa kuchangia?
hizi rigid maelekezo ya kufuata ktk mahusiano ya mapenzi ndio mana yanakuwa magum cku ziendavo.
ni sawa na kuambiwa ukiwa una do na mpenzi wako lazima mtumie midomo yenu kwenye vifanyio,
kumbe wewe hupendi wala mwenzio hapendi na wote mnafanya sabb mlisoma samwea kuwa
ndio the in thing. haya mambo ya mahusiano ya mapenzi hayana formula.
mahusiano yenye formula ni ya Sex tu, sbb ni emotion in motion.
Nilidhani mpenzi niko peke yangu, kumbe tuko wengi?nasema upande wa mahusiano ndio ujibu its compliated.
sijasema wewe upo complicated mamito. mwanaume wa kukudhibiti ww
labda awe na sifa za wapenzi wangu wote ndio atakuweza. teh teh
Charminglady nimesoma kwa uchungu na masikitiko maelezo yako yote ya awali na ya hapo juu kwa sababu nimetoka kuachwa jamani last friday! yaani naumia mno...kisa? niliacha simu nyumbani kwa hiyo sikujibu sms wala kupokea calls za jamaa mpaka nilivorudi kutoka kazini! Au alikua keshajichokea anatafuta sababu?
Pole jamani mpenzi caven dish, ndo maisha kumbuka kuwa kila jambo hutokea sababu... na huenda Mungu kakuepushia jambo fulani kwa huyo mwenzi wako, pia huenda kaona mbeleni hamtawezanana na vitu kama hivyo... Mshukuru Mungu kwa kila jambo wa kwako yupo na nina imani utampata... hata mimi niliwahi kuachwa hadi nikataka kunywa sumu ila rafiki yangu alinishauri nikaona ni ujinga cha ajabu huyo bwana akaoa mke mwingine na ninavosikia mwanaume kawa mlevi na muhuni yan hana ndoa yeney amani mkewe analalamika hadi kwa wafnyakazi wenzie na mwanaume huyuo ... pole Mungu ana kusudi na wewe!
Nilidhani mpenzi niko peke yangu, kumbe tuko wengi?
so many rules.,so many do's and dont's..it makes everything complicated and not fun anymore!!i believe one should be who she is..if you cannot be yourself and rather take on characters that are not yours-what should that tell us about you??be who you are and have fun being you..some one worth you will come along..and you wont have to hide your true self to be happy..
Charminglady nimesoma kwa uchungu na masikitiko maelezo yako yote ya awali na ya hapo juu kwa sababu nimetoka kuachwa jamani last friday! yaani naumia mno...kisa? niliacha simu nyumbani kwa hiyo sikujibu sms wala kupokea calls za jamaa mpaka nilivorudi kutoka kazini! Au alikua keshajichokea anatafuta sababu?