Kwa wadada: Ikiwa hauna nywele zako za asili wewe ni mchafu

Hiki kipindi cha mvua wanavaa rambo kichwani.mi napenda mwanamke apige low cut huwa wanapendeza ile mbaya
 
Wewe rafiki kwa upande wako imekaaje?
Mimi rafiki naona yote sawa tu kwakweli ilimradi muhusika mwenyewe awe anajitambua na hayo makofia manyoya yao, yaani ajue baada ya muda flani anatakiwa kulitoa na kusafisha kichwa
 
Hahaaa. Kweli kabisa rafiki. Na yakivaliwa kwa usafi huwa sidhani kama yanakuwa na shida.
 
Back
Top Bottom