mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Hivi mapenzi ya kweli bado yapo au kunalongolongo tu na wizi mtupu
wa kupotezeana mda? Maana mie mwenzenu sielewi naona kizungumkuti tu
na hekaheka huku mitaani. Leo wanaoana kesho wanaachana, leo mapenzi
motomoto kesho wanafumaniana guest, leo unapendwa kwa vile unangawira
na kesho zikiisha unaachwa.
Je, mapenzi ya kweli bado yapo au yalishajifia enzi hizo?
Hayo yote uliyoniorozeshea hapo watu wameshaniambia sana. Lakini nikiangalia mambo yanayotokea huku mitaaniUkitaka kujua uhondo wa ngoma . . . . .
Achana na mambo ya kuangalia wengine wanavyoachana, huwezi jua pengine mapenzi yao walijengea ktk mchanga
Mapenzi ya kweli na matamu yapo kaka, na wanaochezeana pia wapo.
Tafuta wa kwako, kua nae taratibu kama anavyokuwa mtoto, onyesheni kujaliana, kuheshimiana na kuvumiliana.
Onyeshaneni kujali hisia za kila mmoja wenu pale mnapohitajiana halafu njoo tena hapa JF MMU uniambie mapenzi ya kweli yapo au hayapo?
Maama Arsenal hapa nakubaliana na wewe bila kipingamizi. Lakini tatizo hasa ni niniYapo kwa wachache sana....2 out of 10!!!
Hongera kwa hilo dada Husna. Lakini je, unamda gani ndani ya ndoa? (kama umeolewa) au unamda gani na huyo boy friend wako? isije kawa yaleyale.Yapo sana.
Mi ninayo. Ha ha ha!
Maama Arsenal hapa nakubaliana na wewe bila kipingamizi. Lakini tatizo hasa ni nini
hadi mapenzi ya kweli yametoweka?
mimi dada husninyo.Hongera kwa hilo dada Husna. Lakini je, unamda gani ndani ya ndoa? (kama umeolewa) au unamda gani na huyo boy friend wako? isije kawa yaleyale.
Hayo yote uliyoniorozeshea hapo watu wameshaniambia sana. Lakini nikiangalia mambo yanayotokea huku mitaani
yananikatisha tamaa kabisa ya kuwa na mpenzi permanent au kuoa. Na sasa nimeamua kuwa F.F.F (triple f)
Yaaah ofcoz it is so complicated! Lakini ahsante sana kwa ufafanuzi wa kina. Acha nitafute bible ili nipitie vizuri hiyoMimi kwenye haya masuala napenda kutumia Biblia....
Mapenzi ya kweli yametoweka kutokana na misingi ya kuleta hayo mapenzi ya kweli haizingatiwi....mfano,wapo wengi wanapenda mtu kwa kile alicho nacho,anavyoonekana......misingi ya wapenzi kuwa pamoja ita determine mapenzi yao....
Ukisoma Wimbo Ulio Bora 8:6-7....Nitie kama muhuri moyoni mwako,kama muhuri kwenye mkono wako,kwa maana upendo wa kweli una nguvu kama mauti,wivu wake ni mkatili kama kuzimu.Unachoma kama wili wa moto,kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa.Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,mito haiwezi kuugharikisha.Kama mtu angelitoa mali yote ya nyumbani mwake kwa ajili ya upendo,angelidharauliwa kabisa.
Ukisoma utaelewa kuwa sasa wengi hawapendani kivile hakuna upendo wenye nguvu unaowaweka watu pamoja....wengi ni tamaa na malengo yalio tofauti na upendo....
Ukisoma 1 Wakorintho mlango wa 7....utagundua kupungua sana kwa hofu ya Mungu hata kama upendo upo:
Tumeambiwa kwa tulio wakristo tuwe watu wa mke/mume mmoja......wengi hawafanyi hivi
Tumeambiwa tusinyimane....wengine wananyimana mahitaji ya ndoa
Hakuna heshima panapokosena upendo wa kweli....hakuna kusameheana/kuvumiliana pasipo na upendo wa kweli....so its complicated!!
Hapo kwenye watu na mke/mume mmoja hadi kiama ndipo panapotushinda tuliowengi.asante michelle umesema vyote hasa hapo kwenye red huwezi kufanya hayo kama huna upendo wa kweli :lol:
Ukisoma utaelewa kuwa sasa wengi hawapendani kivile hakuna upendo wenye nguvu unaowaweka watu pamoja....wengi ni tamaa na malengo yalio tofauti na upendo....
Ukisoma 1 Wakorintho mlango wa 7....utagundua kupungua sana kwa hofu ya Mungu hata kama upendo upo:
Tumeambiwa kwa tulio wakristo tuwe watu wa mke/mume mmoja......wengi hawafanyi hivi
Tumeambiwa tusinyimane....wengine wananyimana mahitaji ya ndoa
Hakuna heshima panapokosena upendo wa kweli....hakuna kusameheana/kuvumiliana pasipo na upendo wa kweli....so its complicated!!
Yaaah ofcoz it is so complicated! Lakini ahsante sana kwa ufafanuzi wa kina. Acha nitafute bible ili nipitie vizuri hiyo
mistari uliyonipa. Mmmh......but it seems unajua darasa la mapenzi!
Mwenzangu kwa maisha haya ya sasa na kizazi hiki,ni bora tu niishi peke yangu na rafiki yangu mkubwa atakuwa SALAMA c.Una hasara kuliko faida ndg yangu..............chukulia mungu anakubariki miaka 90 ya maisha utashare nani tunu hiyo?
Nimekupata dada! mmmh...... na wewe humo? si mchezomimi dada husninyo.
Mbona unachakachua jina langu. Lol! Haya kaedit nitarudi kujibu maswali mengine.
Hivi mapenzi ya kweli bado yapo au kunalongolongo tu na wizi mtupu
wa kupotezeana mda? Maana mie mwenzenu sielewi naona kizungumkuti tu
na hekaheka huku mitaani. Leo wanaoana kesho wanaachana, leo mapenzi
motomoto kesho wanafumaniana guest, leo unapendwa kwa vile unangawira
na kesho zikiisha unaachwa.
Je, mapenzi ya kweli bado yapo au yalishajifia enzi hizo?
Hapo kwenye watu na mke/mume mmoja hadi kiama ndipo panapotushinda tuliowengi.
Ukweli ni kwamba hata kama mtapendana vipi hata pasipo kugombana' lazima mtachokana kwenye chakula cha usiku.
maana hakuna jipya yote ni yaleyale tu na hisia ni zilezile tu. Hapo ndipo watu hasa wanaume wanaamua kuchakachua nje.
Mwenzangu kwa maisha haya ya sasa na kizazi hiki,ni bora tu niishi peke yangu na rafiki yangu mkubwa atakuwa SALAMA c.
maana mademu wa siku hizi ni mizunguo tu kwa kwenda mbele! japo si wote. Ni bora niwe triple f kuliko kujipa mastres yasiyo
na ulazima
hapana....nilichoandika ndicho anachonifundisha mchungaji na kusoma pia bible!
Jaluo jeusi bora umenisaidia kuuliza hilo swali,maana i was about to ask her theNi kanisa gani hilo dear nijiunge nalo? namimi napenda kupata hayo maujuzi.